Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msalimie huyo uliyemuweka kwenye avatarZa huku nzuri kabisa[emoji120]
Sawa Th name salamu zimefika pasipo ShakaMsalimie huyo uliyemuweka kwenye avatar
Nasubiria majibu hapa[emoji85]Sawa Th name salamu zimefika pasipo Shaka
Mkuu Raimundo Katika Author ambao nimesoma kazi zao wakielezea Mafia stories ambazo zilijaa tele vijiweni kipindi hicho hakika sijapata wa kumfikia Mario Puzo.Nimesoma Godfather I and II,The Sicilian,Omerta na Fools Die...sasa ukiangalia the way Mario Puzo anavyowatengeneza characters wake na kufit katika area wanayopewa unasoma novels mpaka unahisi unamjua huyo character. kama ulivyomulezea huyo Mrembo Hollywood actress "Athena Aquitane" ambae alikuwa mpenzi wa Cross,ni sawa na mimi nimesoma Fools die Miaka takribani kumi iliyopita lakini ukiniambia nikuelezee wasifu wa Main character (Merlin) katika Fools die nina kumbukumbu nae as if ni mshikaji flan niliyewahi kukutana nae kitaa.Nimesoma hizo novels kiasi ambacho nilikuwa nikipiga stori kitaa washikaji wanakuwa kama wanaangalia Mafian Movies aisee.
Hiyo kwamba kwenye avatar umejiweka mwenyewe tuna mashaka nayo!Mi nna mahaba sana na tamthilia za kilatino ndomaana niliamua kujiita Jimena (inatamkwa Himena) na kwenye avatar nimejiweka tu mwenyewe
[emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji135]Nasubiria majibu hapa[emoji85]
[emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji135]
Jimena Kama kuna tamthilia niliwahi kuangalia kuna mama alikuwa anaitwa hivyo. Napenda dreads lock. Nami sikuhizi nimeanza kusokota nilifata ushauri wenu kwenye ule uzi wa dreadlocks kule jukwaa la mitindo Ila ndo nimenyoa ndo vidogo vinaanza[emoji30] [emoji31] [emoji30]Mi nna mahaba sana na tamthilia za kilatino ndomaana niliamua kujiita Jimena (inatamkwa Himena) na kwenye avatar nimejiweka tu mwenyewe
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji135] [emoji135] [emoji135] [emoji135][emoji15] [emoji15] [emoji15]
Majibu please, nitakupa zawadi nzuri[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji135] [emoji135] [emoji135] [emoji135]
Ni bora unipe kwanza[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Majibu please, nitakupa zawadi nzuri
[emoji156] [emoji151] hiyo hapo zawadi yakoNi bora unipe kwanza[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
[emoji57] [emoji57] [emoji135] [emoji135] hizo colour sivaaji kabisaaa[emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji156] [emoji151] hiyo hapo zawadi yako
Huu mtihani sana. [emoji159] hapo vipi[emoji57] [emoji57] [emoji135] [emoji135] hizo colour sivaaji kabisaaa[emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Duh hizo Kama zile za wakorea bhana[emoji1] [emoji1] [emoji57] [emoji57] [emoji135] [emoji135] [emoji135] [emoji135]Huu mtihani sana. [emoji159] hapo vipi
Usijali dia, mambo mazuri hayataki haraka, nenda nazo tu pole pole mpaka zitarefukaJimena Kama kuna tamthilia niliwahi kuangalia kuna mama alikuwa anaitwa hivyo. Napenda dreads lock. Nami sikuhizi nimeanza kusokota nilifata ushauri wenu kwenye ule uzi wa dreadlocks kule jukwaa la mitindo Ila ndo nimenyoa ndo vidogo vinaanza[emoji30] [emoji31] [emoji30]
Duh zitafika Kama zako kweli[emoji17] [emoji17] [emoji17] ila nazipenda itabidi nivumilieUsijali dia, mambo mazuri hayataki haraka, nenda nazo tu pole pole mpaka zitarefuka
Hili jina ni maarufu sana kwa watu wanaozungumza spanish hivyo liko kwenye tamthilia zao nyingi tu