Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

Mkuu Raimundo Katika Author ambao nimesoma kazi zao wakielezea Mafia stories ambazo zilijaa tele vijiweni kipindi hicho hakika sijapata wa kumfikia Mario Puzo.Nimesoma Godfather I and II,The Sicilian,Omerta na Fools Die...sasa ukiangalia the way Mario Puzo anavyowatengeneza characters wake na kufit katika area wanayopewa unasoma novels mpaka unahisi unamjua huyo character. kama ulivyomulezea huyo Mrembo Hollywood actress "Athena Aquitane" ambae alikuwa mpenzi wa Cross,ni sawa na mimi nimesoma Fools die Miaka takribani kumi iliyopita lakini ukiniambia nikuelezee wasifu wa Main character (Merlin) katika Fools die nina kumbukumbu nae as if ni mshikaji flan niliyewahi kukutana nae kitaa.Nimesoma hizo novels kiasi ambacho nilikuwa nikipiga stori kitaa washikaji wanakuwa kama wanaangalia Mafian Movies aisee.

Ha ha ha, jamaa anaelezea tukio unamsoma mtu na anakuwa kama mshikaji wako. Mimi nilimwelewa sana Salvatore Guiliano kwenye The Sicilian, nilisikitika sana jinsi kifo chake kilivyotokea, kuuawa na jamaa yake Pisciota ambaye wamekuwa naye toka utotoni, mtu ambaye alimwamini sana ndiye aliyemgeuka.

Nadhani kwenye Novel zake zote, Godfather was the best of the best, kuanzia theme mpaka characters. Mpaka sasa nikiwaza Mafia namwaza Don Corleone, pamoja na Madon wote aliowahi kuwataja kwenye novel zingine lakini navutiwa sana na Godfather, hata alivyokuja ku-take over Michael bado naona ilikuwa ndo nzuri sana.
 
Mi nna mahaba sana na tamthilia za kilatino ndomaana niliamua kujiita Jimena (inatamkwa Himena) na kwenye avatar nimejiweka tu mwenyewe
Hiyo kwamba kwenye avatar umejiweka mwenyewe tuna mashaka nayo!
 
Mi nna mahaba sana na tamthilia za kilatino ndomaana niliamua kujiita Jimena (inatamkwa Himena) na kwenye avatar nimejiweka tu mwenyewe
Jimena Kama kuna tamthilia niliwahi kuangalia kuna mama alikuwa anaitwa hivyo. Napenda dreads lock. Nami sikuhizi nimeanza kusokota nilifata ushauri wenu kwenye ule uzi wa dreadlocks kule jukwaa la mitindo Ila ndo nimenyoa ndo vidogo vinaanza[emoji30] [emoji31] [emoji30]
 
Usijali dia, mambo mazuri hayataki haraka, nenda nazo tu pole pole mpaka zitarefuka
Hili jina ni maarufu sana kwa watu wanaozungumza spanish hivyo liko kwenye tamthilia zao nyingi tu
 
Usijali dia, mambo mazuri hayataki haraka, nenda nazo tu pole pole mpaka zitarefuka
Hili jina ni maarufu sana kwa watu wanaozungumza spanish hivyo liko kwenye tamthilia zao nyingi tu
Duh zitafika Kama zako kweli[emoji17] [emoji17] [emoji17] ila nazipenda itabidi nivumilie
 
Back
Top Bottom