Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

Mi nna mahaba sana na tamthilia za kilatino ndomaana niliamua kujiita Jimena (inatamkwa Himena) na kwenye avatar nimejiweka tu mwenyewe
 
Ha ha ha, jamaa anaelezea tukio unamsoma mtu na anakuwa kama mshikaji wako. Mimi nilimwelewa sana Salvatore Guiliano kwenye The Sicilian, nilisikitika sana jinsi kifo chake kilivyotokea, kuuawa na jamaa yake Pisciota ambaye wamekuwa naye toka utotoni, mtu ambaye alimwamini sana ndiye aliyemgeuka.

Nadhani kwenye Novel zake zote, Godfather was the best of the best, kuanzia theme mpaka characters. Mpaka sasa nikiwaza Mafia namwaza Don Corleone, pamoja na Madon wote aliowahi kuwataja kwenye novel zingine lakini navutiwa sana na Godfather, hata alivyokuja ku-take over Michael bado naona ilikuwa ndo nzuri sana.
 
Mi nna mahaba sana na tamthilia za kilatino ndomaana niliamua kujiita Jimena (inatamkwa Himena) na kwenye avatar nimejiweka tu mwenyewe
Hiyo kwamba kwenye avatar umejiweka mwenyewe tuna mashaka nayo!
 
Mi nna mahaba sana na tamthilia za kilatino ndomaana niliamua kujiita Jimena (inatamkwa Himena) na kwenye avatar nimejiweka tu mwenyewe
Jimena Kama kuna tamthilia niliwahi kuangalia kuna mama alikuwa anaitwa hivyo. Napenda dreads lock. Nami sikuhizi nimeanza kusokota nilifata ushauri wenu kwenye ule uzi wa dreadlocks kule jukwaa la mitindo Ila ndo nimenyoa ndo vidogo vinaanza[emoji30] [emoji31] [emoji30]
 
Usijali dia, mambo mazuri hayataki haraka, nenda nazo tu pole pole mpaka zitarefuka
Hili jina ni maarufu sana kwa watu wanaozungumza spanish hivyo liko kwenye tamthilia zao nyingi tu
 
Usijali dia, mambo mazuri hayataki haraka, nenda nazo tu pole pole mpaka zitarefuka
Hili jina ni maarufu sana kwa watu wanaozungumza spanish hivyo liko kwenye tamthilia zao nyingi tu
Duh zitafika Kama zako kweli[emoji17] [emoji17] [emoji17] ila nazipenda itabidi nivumilie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…