Nimeipenda hii
Chief we Boss wa kitengo ganina wewe linamo nini maana yake?
Chief we Boss wa kitengo gani
U sound rather educated though..not housegirl material at allMy name reflects my detestation for House chores that I've been forced to do all my life
avatar nilikutana nayo huko duniani nikaona inafanana na mimi.
Inagusa...[emoji22]haaa! very intersting, mimi sipo kwenye list yako ila ntakueleza kidgo tu uelewe kwa nini naitwa sifileo na si jina langu?
ilikuwa mwaka, fulani nikiwa azaboy, kidato cha sita, siku hiyo nilikuwa mimi na dogo mmoja wa form one, tukivuka barabara, gafla lilikua uda hatukujua limetokea wapi,likamgonga yule dogo na kufa pale pale mimi sikufa siku hiyo, kilichotokea wakati dogo amekufa, niliona kuwa amekatwa kifua kilitengenishwa na kicha, nilikimbia kutoka faya mpka azania, nikamuita mkuu wa shule aje ashuudie unyama ulio fanywa na dereve aliyekuwa amekwisha kimbia, naikumbuka siku hiyo wanafunzi wa azania, walifunga barabara hakuna aliyepita pale police wte wanao kaaga faya walikimbia ila wewngi wao walipigwa sana, maderva walipigwa na kuuawa palepale walio jifanya wanakuja na madar dara yao.
siku hisyo nilishudia vifo vya watu wanne , ndipo nikajiita sifileo,na kwenye sehemu nyingine natumia jina hilo hilo miaka mingi iliyopita nilikuwa nmeweka profile pict ya Jeneza ilinisaidia sana kuepuka watu kuniomba ufriend, hata leo watu nikwatumia friend request wengi wao wanaignore
Hahaha nimechekaaaaaMy name reflects my detestation for House chores that I've been forced to do all my life
avatar nilikutana nayo huko duniani nikaona inafanana na mimi.
Hahahaha..... Umenichekesha tena si kidogo
Usijali dia, mambo mazuri hayataki haraka, nenda nazo tu pole pole mpaka zitarefuka
Hili jina ni maarufu sana kwa watu wanaozungumza spanish hivyo liko kwenye tamthilia zao nyingi tu
Hilo neno Rodger! Nakumbuka movie yangu ya Lone survivor! The best movie in my life....
Hata hiyo pia niliiona, lakini pia kuna nyingine kama 5 zaidi ikiwemo the triumph of love, nazipenda sanaHahaha hyo tamthilia are u talking about " Hidden Passion " ilikua ikirushwa Channel 10..miaka ya 2010 ??
Lol if YES, kuna re-make yake ya mwaka jana 2015 a modern one different cast/actors sasa hivi inarushwa DSTV channel 118 (Telemundo) inaitwa " A Passion for Revenge ".......sema wale vijana huku kidogo wapole wapole hasa ile sehem ya Juan Reyes huku anaitwa Arturo Rey.
Inasisimua kwa kweli.
Hata hiyo pia niliiona, lakini pia kuna nyingine kama 5 zaidi ikiwemo the triumph of love, nazipenda sana
Huo ndio ukweli, sasa mna mashaka kuwa siwezi kuwa na nywele hizo au tatizo ni nini?Hiyo kwamba kwenye avatar umejiweka mwenyewe tuna mashaka nayo!
Stori ni tofauti na wahusika ni tofauti pia, hebu tafuta valiant of love kama hujaiona pia yupo XimenaU mean hzo zingine ni the same story different cast ?? Au ni story zingine....hyo triumph of love ntasoma plot yake.