Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

Nilipotea mitandaoni muda ndo nkarudi kwa style hii
 
My name reflects my detestation for House chores that I've been forced to do all my life

avatar nilikutana nayo huko duniani nikaona inafanana na mimi.
U sound rather educated though..not housegirl material at all
 
haaa! very intersting, mimi sipo kwenye list yako ila ntakueleza kidgo tu uelewe kwa nini naitwa sifileo na si jina langu?

ilikuwa mwaka, fulani nikiwa azaboy, kidato cha sita, siku hiyo nilikuwa mimi na dogo mmoja wa form one, tukivuka barabara, gafla lilikua uda hatukujua limetokea wapi,likamgonga yule dogo na kufa pale pale mimi sikufa siku hiyo, kilichotokea wakati dogo amekufa, niliona kuwa amekatwa kifua kilitengenishwa na kicha, nilikimbia kutoka faya mpka azania, nikamuita mkuu wa shule aje ashuudie unyama ulio fanywa na dereve aliyekuwa amekwisha kimbia, naikumbuka siku hiyo wanafunzi wa azania, walifunga barabara hakuna aliyepita pale police wte wanao kaaga faya walikimbia ila wewngi wao walipigwa sana, maderva walipigwa na kuuawa palepale walio jifanya wanakuja na madar dara yao.

siku hisyo nilishudia vifo vya watu wanne , ndipo nikajiita sifileo,na kwenye sehemu nyingine natumia jina hilo hilo miaka mingi iliyopita nilikuwa nmeweka profile pict ya Jeneza ilinisaidia sana kuepuka watu kuniomba ufriend, hata leo watu nikwatumia friend request wengi wao wanaignore
Inagusa...[emoji22]
 
Mzee wangu alikuwa akiikaa na wenzie wanajikumbusha vitabu vyao sasa kuna siku wakaongelea kuhusu allan quartemain na wenzie kilinivutia sana ikabidi nianze kukisoma home tulikuwa na kimaktaba kilikuwa kipya basi humo ndo nikamjua umslopogaas na shoka lake.
Hata walipofika kwa bwana Mackenzie na wale wajivuni kuwaibukia na mazungumzo yakawa hivi
Mjivuni:mimi ni mkuu wa wajivuni wa sehemu ya guasa amboni mimi na watu wangu tumewafuata hawa watu weupe wakawa werevu na kukimbia nia yetu ni kuwauwa kwani tusipo fanya hivyo wanawake wetu tukirudi watatucheka.Story watu wengi humu wanaijua but kituko cha mwisho ni pale yule Mjivuni alipotaka kuondoka na kumuona yule mzulu mkubwa kamsimamia akamuuliza kitwana nipishe kauli ile ilionekana kumkera yule mzee mzulu na kumwambia
Umslopogaas:waniona?
Mjivuni:nakuona kitwana.
Kisha umslopogaas akapeleka shoka lake waliona hili yule Mjivuni akajibu naliona la nini?
Umslopogaas:wewe mjivuni mbwa mkamata watoto wa kike kwa mchezo huu nitavikongoa viungo vyako cheka!cheka lakini usiku wa kesho fisi watacheka wakiitafuna mifupa yako.
Hii ndo asili ya jina mwanzo nilitumia guasa ila baada ya mabadiliko ikawa inakataa nikaamua niongeze amboni.Ila natamani waje hapa kunguni wa ulaya pia funzadume nyani jike na hawa wenye majina ya pepo(heaven).
 
Usijali dia, mambo mazuri hayataki haraka, nenda nazo tu pole pole mpaka zitarefuka
Hili jina ni maarufu sana kwa watu wanaozungumza spanish hivyo liko kwenye tamthilia zao nyingi tu

Hahaha hyo tamthilia are u talking about " Hidden Passion " ilikua ikirushwa Channel 10..miaka ya 2010 ??

Lol if YES, kuna re-make yake ya mwaka jana 2015 a modern one different cast/actors sasa hivi inarushwa DSTV channel 118 (Telemundo) inaitwa " A Passion for Revenge ".......sema wale vijana huku kidogo wapole wapole hasa ile sehem ya Juan Reyes huku anaitwa Arturo Rey.

Inasisimua kwa kweli.
 
Hahaha hyo tamthilia are u talking about " Hidden Passion " ilikua ikirushwa Channel 10..miaka ya 2010 ??

Lol if YES, kuna re-make yake ya mwaka jana 2015 a modern one different cast/actors sasa hivi inarushwa DSTV channel 118 (Telemundo) inaitwa " A Passion for Revenge ".......sema wale vijana huku kidogo wapole wapole hasa ile sehem ya Juan Reyes huku anaitwa Arturo Rey.

Inasisimua kwa kweli.
Hata hiyo pia niliiona, lakini pia kuna nyingine kama 5 zaidi ikiwemo the triumph of love, nazipenda sana
 
U mean hzo zingine ni the same story different cast ?? Au ni story zingine....hyo triumph of love ntasoma plot yake.
Stori ni tofauti na wahusika ni tofauti pia, hebu tafuta valiant of love kama hujaiona pia yupo Ximena
 
Back
Top Bottom