Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

Ok...nitacheck schedule yangu then nizitafute.
Sawa pia kuna my favourite wakati wote japo humo hakuna Jimena, kama hujaiona uitafute pia inaitwa Sortilegio, nayo ni nzuri sanaaa
 
Huu uzi umefungwa au???😱😱😱
Hivi ni kweli watu wamemaliza kutoa visa vyao, au figisufigisu za maMOD ili post za wakongwe zisomwe?!
 
Basi sawa!ila sikumbuki vizuri vhs kwendadvd ni mwaka gani ila nahisi 1998 sina hakika vizuri
 
Daaaah

BC saw mm jina langu lina djblack lilitokana

Nilipokuwa naishi kuna rafiki yangu alifungua library halafu katika maswala ya mziki aliweka subfa moja matata sana so huwa nikiwa kwenye machine napiga radha mbalimbali mpaka watu wakawa wanakuja maeneo hayo kusikiriza miziki tofautix2.
Kutokana na rangi yang ni black wa kung'aa hivyo wakawa wananiita hivyo.

So kiufupi Nina kipaji cha udj.
Avatar yangu ni kumbukumbu ya timu yangu kipenzi barani ulaya chelseafc ilipotimiza miaka 11
 
Huu uzi umefungwa au???😱😱😱
Hivi ni kweli watu wamemaliza kutoa visa vyao, au figisufigisu za maMOD ili post za wakongwe zisomwe?!
Taratibu ndugu....ukiwaudhi mods watakupora huu Uzi na kumpa mkingwe na utafanywa stick kwa ID ya mkingwe
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
japo haujanitaja cognition maana yake ni " conscious mental activities : the activities of thinking,
understanding, learning, and remembering',.kwa maisha niliyopitia huwa najiona mbele ya wakati kwa upande wa kufikiri thus why nikatumia cognition,hata upande wa mwaka kwenye hii ID sio mwaka halisi wa kuzaliwa niliamua kurudisha miaka kadhaa nyuma ili niendane perception yangu ya kuwa mbele ya wakati,avatar inatokana na tabia ya kufikilia namna ya kutoka shimoni/shida na solution pekee ya kutoka huko ni kumiliki mavumba,so hiyo avatar inanikumbusha majukumu yangu nikiwa bado kijana
 
Huu uzi umefungwa au???😱😱😱
Hivi ni kweli watu wamemaliza kutoa visa vyao, au figisufigisu za maMOD ili post za wakongwe zisomwe?!
...doooh.,unaharibu sasa...kwa mwenendo wa uzi huu hudhani kwamba hakuna figisu kwa wanajiita makapuku,wewe ukiwa mmojawapo?..replies zaidi ya 500 bob.kuwa fair
 
...doooh.,unaharibu sasa...kwa mwenendo wa uzi huu hudhani kwamba hakuna figisu kwa wanajiita makapuku,wewe ukiwa mmojawapo?..replies zaidi ya 500 bob.kuwa fair
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Nimemaliza kupitia zooote tokea mwanzo, imenichukua masaa mawili, kwa kweli hongera mleta uzi Na wachangiaji pia!, kwani sijawahi kutumia muda mrefu hivi kwa social media!. Sasa zamu yangu:
Nilihangaika Sana kutumia majina yenye msisimko flani hivi, yote yakawa tayari yana wamiliki wake, nikaona shida yote ya nini, nikatupia jina la mtaa wangu wa nyumbani kabisa( nilipojifunzia mema na mabaya) likakubali!.
Kuhusu avatar:- Mimi jinsia yangu ndizi , pia ndio tunda ninalolipenda, hulikosi mezani pangu nikiwa na sahani ya ubwabwa maharagwe!, na tena ndizi kwa samaki ni chakula bora kabisa kwangu hasa nikila siku ambayo niko happy Sana!, Mwisho warembo wachache Tu waliobahatika kupatiwa huduma Yangu huwa wanahoji nimepaka nini?, mbona tamu?, nimekuwa nikipenda kuwajibu, ndizi mbivu haihitaji kusaidiwa kunoga!. Ni hayo tu! Samahani kwa usumbufu!.
Kama unahitaji ndizi ni-PM ( ladies only).
 

Mkuu nakushukuru kwa kutumia MASAA MAWILI kuusoma uzi huu, its real an honour. Nashukuru sana. Uzi huu umekuwa na baraka kwa JF members, kila mmoja kwa nafasi yake.

Kuhusu jina lako na ndizi story mie nakutakia ugawaji mwema wa ndizi kwa wadada ambao watakuwa interested!! Sharing is caring, kwann uwanyime ndizi kama wanataka ndiziπŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…