Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,689
Stori ni tofauti na wahusika ni tofauti pia, hebu tafuta valiant of love kama hujaiona pia yupo Ximena
Ok...zilikua zinaonyeshwa channel gan au bado ziko ON (channel gan ) ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stori ni tofauti na wahusika ni tofauti pia, hebu tafuta valiant of love kama hujaiona pia yupo Ximena
Chanel tofauti tofauti ikiwemo citizen, capital na stvE1 sikuhizi inaitwa novela E1Ok...zilikua zinaonyeshwa channel gan au bado ziko ON (channel gan ) ??
Chanel tofauti tofauti ikiwemo citizen, capital na stvE1 sikuhizi inaitwa novela E1
Sawa pia kuna my favourite wakati wote japo humo hakuna Jimena, kama hujaiona uitafute pia inaitwa Sortilegio, nayo ni nzuri sanaaaOk...nitacheck schedule yangu then nizitafute.
Sawa pia kuna my favourite wakati wote japo humo hakuna Jimena, kama hujaiona uitafute pia inaitwa Sortilegio, nayo ni nzuri sanaaa
Basi sawa!ila sikumbuki vizuri vhs kwendadvd ni mwaka gani ila nahisi 1998 sina hakika vizuriHahah, hivi dvd imekuja kureplace vhs mwaka gani vile, remind me pls😀😀😀
Afu ugumu wa sura sio wingi wa miaka,
Obama
Kikwete
Beckham
Pep guadiora
Mourinho
Dewji Mo
Makamba jr
Mshana jr
Faizafoxy
Nifah na
Bitoz
Ni mifano ya watu ambao wameruka vihunzi vingi ila thy still luk flesh
DaaaahKuna siri kubwa sana chini ya majina tunayotumia humu JF pamoja na avatar zetu (wale wanaotumia picha zisio zao).
Kwanini uliamua kujiita A na sio B?!
Kwanini a jina feki na sio jina harisi?!
Nadhani nianze na mimi mwenyewe, sizzya007 ni jina modified kidogo, hapo zamani nilikuwa natumia sizya007 humu jf ila nilipobadili device nikawa nimesahau password ikanibidi nifungue acc mpya na kutumia sizzya007, jina hili linatokana na mizuka na mahaba mazito ambayo nilikuwa nayo kwa movie za James Bond. Toka enzi hizo za VHS, mie nilikuwa nazo movie nyingi sana za huyu mwamba! Basi rafiki na ndugu wa karibu walianza kuniita 007, nilivyofika chuo wale nilioachana nao primary ndio wakaliibua upya, ila muda huu ndio likaja na sizya007🙄
Hili ni jina ambalo nalitumia mitandao yote ya kijamii ambayo nipo, ila kwingine nimelifanyia utundu kidogo.
Sasa, natamani kujua majina ya wengi humu jf atleast origin yake ni nini hasa! Nitamzungumzia mmoja tu ambaye huyu nadhani itabodi alifafanue lake kwani limekaa kifigisufigisu, GENTAMYCINE😱😱
GENTAMYCINE, nikujaribu kulinyumbua napata ukakasi, GENTA MY CINE😳
Why should i GENTA your CINE?! And what is CINE?! Na kuGENTA ndio kufanya nini😱😱
Cc GENTAMYCINE njoo ujibu, jina liko kifigisufigisu sana hili.
Wengine ni
Faizafoxy
TheBoss
Lara1
Rubii
Bitoz
Miss chagga
Bansenburner
Mshana jr
YEOHANDA
perry
tatty
cute b
Evelynsalt
Stroke
Nyani Nyabu
Mwanakijiji
Mwanahabari huru
Mzama chumvini
Nahree
Na wengine kibaaao, ebu funguka kidogo kwanini unatumia jina hilo?!
🙄🙄
educated but poor!!! gonna be a housegirl heck of a long time.U sound rather educated though..not housegirl material at all
lol nini hasa? kuchukia house chores?Hahaha nimechekaaaaa
Taratibu ndugu....ukiwaudhi mods watakupora huu Uzi na kumpa mkingwe na utafanywa stick kwa ID ya mkingweHuu uzi umefungwa au???😱😱😱
Hivi ni kweli watu wamemaliza kutoa visa vyao, au figisufigisu za maMOD ili post za wakongwe zisomwe?!
Hahaha exactly, eti you have been forced to do the chores all your life...[emoji23] [emoji23] [emoji23]lol nini hasa? kuchukia house chores?
Poleh mami,pray to God ni mwingi wa rehema atakurehemueducated but poor!!! gonna be a housegirl heck of a long time.
yea I'll pray he drops me a free chequePoleh mami,pray to God ni mwingi wa rehema atakurehemu
...doooh.,unaharibu sasa...kwa mwenendo wa uzi huu hudhani kwamba hakuna figisu kwa wanajiita makapuku,wewe ukiwa mmojawapo?..replies zaidi ya 500 bob.kuwa fairHuu uzi umefungwa au???😱😱😱
Hivi ni kweli watu wamemaliza kutoa visa vyao, au figisufigisu za maMOD ili post za wakongwe zisomwe?!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]...doooh.,unaharibu sasa...kwa mwenendo wa uzi huu hudhani kwamba hakuna figisu kwa wanajiita makapuku,wewe ukiwa mmojawapo?..replies zaidi ya 500 bob.kuwa fair
Nimemaliza kupitia zooote tokea mwanzo, imenichukua masaa mawili, kwa kweli hongera mleta uzi Na wachangiaji pia!, kwani sijawahi kutumia muda mrefu hivi kwa social media!. Sasa zamu yangu:
Nilihangaika Sana kutumia majina yenye msisimko flani hivi, yote yakawa tayari yana wamiliki wake, nikaona shida yote ya nini, nikatupia jina la mtaa wangu wa nyumbani kabisa( nilipojifunzia mema na mabaya) likakubali!.
Kuhusu avatar:- Mimi jinsia yangu ndizi , pia ndio tunda ninalolipenda, hulikosi mezani pangu nikiwa na sahani ya ubwabwa maharagwe!, na tena ndizi kwa samaki ni chakula bora kabisa kwangu hasa nikila siku ambayo niko happy Sana!, Mwisho warembo wachache Tu waliobahatika kupatiwa huduma Yangu huwa wanahoji nimepaka nini?, mbona tamu?, nimekuwa nikipenda kuwajibu, ndizi mbivu haihitaji kusaidiwa kunoga!. Ni hayo tu! Samahani kwa usumbufu!.
Kama unahitaji ndizi ni-PM ( ladies only).