Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

Usiogope!! Msimu ujao mtakuwa na fundi wa magendo, special one
sidhani kama kila kitu kina sababu mana,tumepotea lakn kila nikitafuta sababu sipati.......kwann Man u kakumbwa na aibu hii btw nakomaaa 2
 
mkuu nikiangalia Man u ya leo na nikikmbuka hzo zama nabaki na stress

Unachoongea ni kweli kabisa mkuu...

Lakini mimi hili nililitarajia baada ya kustaafu kwa SAF atleast Man U inayofahamika kwa Mashabiki wake itaanza kuonekana msimu ujao. (baada ya kuondoka Van Gal) ManU ya ukweli si ya kunyanyaswa na timu kama Tote kiasi cha kufungwa goli tatu ndani ya dk 10..! Hiyosiyo Man U ninayoijua.

Tujipe uvumilivu mdau.

BACK TANGANYIKA
 
kila mwaka matumaini hewa
 
Mimi niliamua kufungua akaunti jf kwa jina hili na avatar hii kwa sababu

Kaka yangu alikuwa na simu fulani hivi NOKIA 1280

Kwenye Ile simu mbele ya kioo alikuwa ameandika T 1986 BUL

Siku moja nilimuuliza kuwa anamaanisha nini kuandika hivyo kwenye simu yake

Akanijibu kuwa T ni TANZANIA na 1986 ni mwaka wake wa kuzaliwa na BUL ni kifupisho cha jina langu

Sasa bhasi na Mimi T namaanisha ni TANZANIA na 1990 ni mwaka wangu wa kuzaliwa na ELY ni kifupi cha jina langu

Kuhusu Avatar hiyo ni Mimi mwenyewe yaani sura yangu kabisa iliyotukuka isiyokuwa na mashiko.
 
Safi sana. Kumbe huyo ni wewe aisee. Vipi lakini uko poa?
 
haya mambo na hizi nyuizi zinajirudia maana nakumbuka miaka ya 2007-10 tuliweka post kama hii sidhani kama hawa inviisible wa sasa watajua hili labda siye wazamani hapa jf
 
Back
Top Bottom