Nahrene
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 938
- 2,908
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sawa. Usiku mwema[emoji99]Sio huku 😀
HahahahahahaaHii inanikumbusha kipindi niko advance boarding school, kwa kuwa mabafu yalikuwa ni ya kushare, mtu wa dar alikuwa anajulikana kwa weusi wa tako lake, na hii tulihypothesize kana ni matokeo ya kukalia bansenburner😀😀
Walengwa wa uzi huu hawawezi kujitokeza.... Kuna kitu kinatafutwa na wao wanajua wanatafutwa na hawatajionyesha kirahisi....
Wewe ndio huelewi maana ya ulichoandika, hii ni njia nyingine ya kuwafanya watu watoke kwenye fake id zao.Shekhe😱😱
Mbona unataka kuleta figisufigisu na kuogofya watu?! Hamna kinachotafutwa hapa, hii ni njia ya kusocialize tu na kupata muda wa kufurahia maisha.
Stop overthinking, it will ruin your life before you even realize.
Kuna siri kubwa sana chini ya majina tunayotumia humu JF pamoja na avatar zetu (wale wanaotumia picha zisio zao).
Kwanini uliamua kujiita A na sio B?!
Kwanini a jina feki na sio jina harisi?!
Nadhani nianze na mimi mwenyewe, sizzya007 ni jina modified kidogo, hapo zamani nilikuwa natumia sizya007 humu jf ila nilipobadili device nikawa nimesahau password ikanibidi nifungue acc mpya na kutumia sizzya007, jina hili linatokana na mizuka na mahaba mazito ambayo nilikuwa nayo kwa movie za James Bond. Toka enzi hizo za VHS, mie nilikuwa nazo movie nyingi sana za huyu mwamba! Basi rafiki na ndugu wa karibu walianza kuniita 007, nilivyofika chuo wale nilioachana nao primary ndio wakaliibua upya, ila muda huu ndio likaja na sizya007🙄
Hili ni jina ambalo nalitumia mitandao yote ya kijamii ambayo nipo, ila kwingine nimelifanyia utundu kidogo.
Sasa, natamani kujua majina ya wengi humu jf atleast origin yake ni nini hasa! Nitamzungumzia mmoja tu ambaye huyu nadhani itabodi alifafanue lake kwani limekaa kifigisufigisu, GENTAMYCINE😱😱
GENTAMYCINE, nikujaribu kulinyumbua napata ukakasi, GENTA MY CINE😳
Why should i GENTA your CINE?! And what is CINE?! Na kuGENTA ndio kufanya nini😱😱
Cc GENTAMYCINE njoo ujibu, jina liko kifigisufigisu sana hili.
Wengine ni
Faizafoxy
TheBoss
Lara1
Rubii
Bitoz
Miss chagga
Bansenburner
Mshana jr
YEOHANDA
perry
tatty
cute b
Evelynsalt
Stroke
Nyani Nyabu
Mwanakijiji
Mwanahabari huru
Mzama chumvini
Nahree
Na wengine kibaaao, ebu funguka kidogo kwanini unatumia jina hilo?!
🙄🙄
Wahandisi tuna tabia ya kufikiri mwisho wa jambo kabla ya mwanzo, usimlaumu mhandisi mzalendoShekhe😱😱
Mbona unataka kuleta figisufigisu na kuogofya watu?! Hamna kinachotafutwa hapa, hii ni njia ya kusocialize tu na kupata muda wa kufurahia maisha.
Stop overthinking, it will ruin your life before you even realize.
Mkuu big up, inaelekea mhandisi kweli au!Wewe ndio huelewi maana ya ulichoandika, hii ni njia nyingine ya kuwafanya watu watoke kwenye fake id zao.
Watu wanajua kuconnect dot kichizi...
Anyway endelea ku socialize
Nasi tutaitendea haki kwa kutamka HustinaBasi ngoja na mimi nijiite Justina 😀
Nasi tutaitendea haki kwa kutamka Hustina
Matatizo ya kuwa na ID kumikumi hayaGentamycin ni dawa, antibiotic fulani hivi amazing.
Mkuu bak je top 4 mtachukua safari hii? Cz naona vikwazo vingi!!
Mkuu bak je top 4 mtachukua safari hii? Cz naona vikwazo vingi!!
Yule mzee bado mnaye sana atoki pale lazima muwe wavumilivu kwa WengerSiye ni kundi la kukosa tu Mkuu, hivyo sioni kama tuna chetu kwa mara nyingine tena msimu huu. Tatizo letu kubwa ni yule Arsene Wenger. Hata FA tumeikosa tena kwa kufunga kwetu.