Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

Kuna mkaka mmoja alikuwa king'ang'anizi kama kupe.
Alikuwa ananipenda halafu simpendi,
Sikuwahi kumwambia jina langu basi zake ikawa ni kuniita cute wangu.
Hadi marafiki zangu wakawa wanambeza wakimwona wananiambia B our cutie anakuja.
Basi siku najiunga humu nikatumia cute then B ni herufi ya kwanza ya jina langu.
Cute B
 
Hahaha....i get that a lot mzee, ila tusubiri tuone, hii ni sura ambayo only a mother can loveπŸ˜€
Hahaha only mother can love ? [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji12]
 

And this is wat i call cute, well told story.
 
Bitoz ni jina nililopewa skul na kitaani kutokana na uvaaji wangu......yaani kuanzia uniform hadi kitaani sikubali kufanana na mtu .....kupiga pamba vizuri ni kipaumbele changu japo mimi ni KAPUKU....

Avatar inawakilisha
* kutangaza utalii
* Tembo bishoo
*kupinga mauaji ya tembo
*Tembo ni ishara ya nguvu

NIMEELEWEKA
 

Nimekuelewa kama hesabu za MAGAZIJUTO mzee, pamoja sana BishopTemboπŸ˜€
 
Avatar ni GYPSY GIRL I love their mysteries. Jina Yummie ni mbwembwe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…