Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok[emoji2] [emoji2] tunapajua mimi na yeye tu.
Pole sana. Ulibuni majina kama mangapi hivi?Mimi nilikosa jina la kujiunga nalo humu. Kila nililoliweka lilikataliwa nikaamua kutwist kidogo jina langu.
nishafika hutokeiHaya twende sasa, wanasema usimwage mchele kwenye kuku wengi
karibu sanaNa mie ntakutafuta huko😉
ni lodge mkuu.Mnatafutana vichochoro gani tena [emoji125]
Asante! Mengi mpaka nikatumia jina langu la kilugha kumbe na lenyewe lipo humu.Pole sana. Ulibuni majina kama mangapi hivi?
Nipo njiani agiza kinywaji kwanza, ila umejiandaanishafika hutokei
karibu sana
ni lodge mkuu.
Yes limenifaa zaidNahisi ulivyolitwist limekufaa zaidi.
Duuuh humu kuna memba wengi sana.Asante! Mengi mpaka nikatumia jina langu la kilugha kumbe na lenyewe lipo humu.
Yeah WaPo wengi. Thank you Th NameDuuuh humu kuna memba wengi sana.
BTW I like your name
Hata nilipata shida. Hiyo ID ninayotumia nilitaka kuchange hapo kwenye Th niweke The kumbe kuna mtu tayari anajiita The Name, wish to change this ID but nimeshaizoea tatizoYeah WaPo wengi. Thank you Th Name
Lodge mim mgeninishafika hutokei
karibu sana
ni lodge mkuu.
Nahisi kama ulikuwa unampenda ila jamaa akakata tamaa mapema kufukuzia,yaleyale ya mbio za jogoo na mtetea.mtetea kujilaumu kwa kuzidisha spidiKuna mkaka mmoja alikuwa king'ang'anizi kama kupe.
Alikuwa ananipenda halafu simpendi,
Sikuwahi kumwambia jina langu basi zake ikawa ni kuniita cute wangu.
Hadi marafiki zangu wakawa wanambeza wakimwona wananiambia B our cutie anakuja.
Basi siku najiunga humu nikatumia cute then B ni herufi ya kwanza ya jina langu.
Cute B
Iache hv hv. Ipo unique.Hata nilipata shida. Hiyo ID ninayotumia nilitaka kuchange hapo kwenye Th niweke The kumbe kuna mtu tayari anajiita The Name, wish to change this ID but nimeshaizoea tatizo