Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,461
- 35,218
Asante kwa ushauri,Iache hv hv. Ipo unique.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa ushauri,Iache hv hv. Ipo unique.
Nasubiri yakoImagination come to reality.
Elezea kidogo.KIOO.
Kyutiii biiii......lol.....siyo kwa kunitenga huko.Kuna mkaka mmoja alikuwa king'ang'anizi kama kupe.
Alikuwa ananipenda halafu simpendi,
Sikuwahi kumwambia jina langu basi zake ikawa ni kuniita cute wangu.
Hadi marafiki zangu wakawa wanambeza wakimwona wananiambia B our cutie anakuja.
Basi siku najiunga humu nikatumia cute then B ni herufi ya kwanza ya jina langu.
Cute B
Kumbe nilikosea kuandika ID yako kule kwa BitozAsante kwa ushauri,
Karibu tenaAsante kwa ushauri,
Mbona husemi chanzo cha avatar yako[emoji1] [emoji1] [emoji1]wengi hamsemi chanzo cha kuchagua avatar zenu
ID na avatar yako nawait maelezo. Karibu [emoji520]Kyutiii biiii......lol.....siyo kwa kunitenga huko.
nampenda sana huyo jamaa picha yake inayoonekana. Anaitwa Dwayne 'the Rock' Johnson. ni mwana mieleka na anacheza filamu. filamu zake nzuri sana tuMbona husemi chanzo cha avatar yako[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Nashukuru kwa taarifa.[emoji120] [emoji120]nampenda sana huyo jamaa picha yake inayoonekana. Anaitwa Dwayne 'the Rock' Johnson. ni mwana mieleka na anacheza filamu. filamu zake nzuri sana tu
Nashukuru kwa hilo. Hiyo ID yako ina maana IPI?Dah sikosei tena sahivi nishajua kutofautisha
yes,and the story behind ndo somo nililolipenda chuono na ninalolipenda maana halina longolongo wala burah burahaUsername yako hii inaniletea hisia za masomo flani pasua kipindi niko chuo😱
Ecometrics ST moja ya kifala sana😡
kwa sura ya mtoa uzi andaa box la ndom mjomba vinginevyo umekwisha maana wasicha wa dar kwa kupenda sura sijui wapo je? hawajui kuwa kwetu sisi bara hakuna sura kuna kazi tuu, au waoga wa shuguli pevu. mfateni mtoa uzi awakamue mimim namjua sio sura yake hiyo mfateni akawape shughuri motyomoto