Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

Kuna mkaka mmoja alikuwa king'ang'anizi kama kupe.
Alikuwa ananipenda halafu simpendi,
Sikuwahi kumwambia jina langu basi zake ikawa ni kuniita cute wangu.
Hadi marafiki zangu wakawa wanambeza wakimwona wananiambia B our cutie anakuja.
Basi siku najiunga humu nikatumia cute then B ni herufi ya kwanza ya jina langu.
Cute B
Kyutiii biiii......lol.....siyo kwa kunitenga huko.
 
Mbona husemi chanzo cha avatar yako[emoji1] [emoji1] [emoji1]
nampenda sana huyo jamaa picha yake inayoonekana. Anaitwa Dwayne 'the Rock' Johnson. ni mwana mieleka na anacheza filamu. filamu zake nzuri sana tu
 
Mie ID yangu chanzo chake...mie ni mpenda teknolojia sana hivyo ilivyokuja generation ya 4G nikataman sana kuitumia, bas nikapata simu inayosukuma 4G...mpaka hapo wakat najiunga jf nikaona hilo jina linanifaa sana...

Kuhusu avatar ukilitwist kidogo jina hilo unapata jina langu halis pia ni mpenzi wa hzo motokaa..
 
kwa sura ya mtoa uzi andaa box la ndom mjomba vinginevyo umekwisha maana wasicha wa dar kwa kupenda sura sijui wapo je? hawajui kuwa kwetu sisi bara hakuna sura kuna kazi tuu, au waoga wa shuguli pevu. mfateni mtoa uzi awakamue mimim namjua sio sura yake hiyo mfateni akawape shughuri motyomoto
 
nampenda sana huyo jamaa picha yake inayoonekana. Anaitwa Dwayne 'the Rock' Johnson. ni mwana mieleka na anacheza filamu. filamu zake nzuri sana tu
Nashukuru kwa taarifa.[emoji120] [emoji120]
 
mimi ya Avatar ya kwangu ni ya character anayeitwa Tony Soprano kwenye series ya The sopranos, hapo kwenye maandishi anakuambia "a wrong decision is better than indecision" msemo ambao naukubali

jamaa tunafanana sana kwa mwonekano na character ndo maana nikamuweka
real G inasimama badala ya real Gangster, kwa maana mimi ni mafia mtaani, ukinizingua nakupoteza chap tu, kwa kutumia vijana wangu

123875.jpg
 
Username yako hii inaniletea hisia za masomo flani pasua kipindi niko chuo😱
Ecometrics ST moja ya kifala sana😡
yes,and the story behind ndo somo nililolipenda chuono na ninalolipenda maana halina longolongo wala burah buraha
 
kwa sura ya mtoa uzi andaa box la ndom mjomba vinginevyo umekwisha maana wasicha wa dar kwa kupenda sura sijui wapo je? hawajui kuwa kwetu sisi bara hakuna sura kuna kazi tuu, au waoga wa shuguli pevu. mfateni mtoa uzi awakamue mimim namjua sio sura yake hiyo mfateni akawape shughuri motyomoto

😀😀😀😀 i will take this as a compliment, ila mtoa uzi yuko njiani kuoa. Mungu akisaidia mwezi wa kumi mwaka huu naukimbia useja
 
Back
Top Bottom