Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

Kuna mkaka mmoja alikuwa king'ang'anizi kama kupe.
Alikuwa ananipenda halafu simpendi,
Sikuwahi kumwambia jina langu basi zake ikawa ni kuniita cute wangu.
Hadi marafiki zangu wakawa wanambeza wakimwona wananiambia B our cutie anakuja.
Basi siku najiunga humu nikatumia cute then B ni herufi ya kwanza ya jina langu.
Cute B
Nahisi kama ulikuwa unampenda ila jamaa akakata tamaa mapema kufukuzia,yaleyale ya mbio za jogoo na mtetea.mtetea kujilaumu kwa kuzidisha spidi
 
Username, avatar[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom