Nakupata.. jamaa anachangamsha mada.Mie niko interested na story behind names, nothing more nothing less wajameni😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakupata.. jamaa anachangamsha mada.Mie niko interested na story behind names, nothing more nothing less wajameni😀
kaniambia anakufahamu, nahisi anaogopa kukustuaMbona unambembelezea? Aseme mwenyewe..
Bora asinishtue..ukute ni mjomba wangu!kaniambia anakufahamu, nahisi anaogopa kukustua
unajua mjomba wako ndo mama yako wa pili hapa duniani? wacha iwe tu bwanaBora asinishtue..ukute ni mjomba wangu!
Bora umenikabidhi rungu mkuu, subiri ripoti 😀😀Dragoon uko vizuri!!! Sie wengine wazito kuongea bhana, flow naye akieleweka nambie😀
Hahaha only mother can love ? [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji12]Hahaha....i get that a lot mzee, ila tusubiri tuone, hii ni sura ambayo only a mother can love😀
Kuna mkaka mmoja alikuwa king'ang'anizi kama kupe.
Alikuwa ananipenda halafu simpendi,
Sikuwahi kumwambia jina langu basi zake ikawa ni kuniita cute wangu.
Hadi marafiki zangu wakawa wanambeza wakimwona wananiambia B our cutie anakuja.
Basi siku najiunga humu nikatumia cute then B ni herufi ya kwanza ya jina langu.
Cute B
Bitoz ni jina nililopewa skul na kitaani kutokana na uvaaji wangu......yaani kuanzia uniform hadi kitaani sikubali kufanana na mtu .....kupiga pamba vizuri ni kipaumbele changu japo mimi ni KAPUKU....
Avatar inawakilisha
* kutangaza utalii
* Tembo bishop
*kupinga mauaji ya tembo
NIMEELEWEKA
Huyo kweny avatar ni wew?And this is wat i call cute, well told story.
Edit "bishop" ni bishooNimekuelewa kama hesabu za MAGAZIJUTO mzee, pamoja sana BishopTembo😀
Nimekupenda, wew ni hbzoNdio😳😳
Asante ngoja niishie hapaAsante🙄🙄 na wewe ni kazuri