Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

Siye ni kundi la kukosa tu Mkuu, hivyo sioni kama tuna chetu kwa mara nyingine tena msimu huu. Tatizo letu kubwa ni yule Arsene Wenger. Hata FA tumeikosa tena kwa kufunga kwetu.
Pia naona vijana wamecopy thread yako ya 2009?
kweli nimeamini hakuna jipya chini ya jua
 
Reactions: BAK
Pia naona watoto wamecopy thread yako ya 2009?
kweli nimeamini hakuna kipya chini ya jua

Mkuu wembee, tafadhari naomba ufute kauli yako hiyo, respect is priceless! Hapo kwenye red hapo.

Sikujua kama kuna uzi wa namna hii JF, kwahiyo sijacopy ila hii imetokea kama coincidence!
 
Hakuna ubaya Mkuu maana kama ujuavyo kuna wanachama wapya wengi sana katika miaka ya karibuni ambao wanaweza kuamua kufunguka kuhusu IDs zao na hata profile pics.

Pia naona vijana wamecopy thread yako ya 2009?
kweli nimeamini hakuna jipya chini ya jua
 
WIVU [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]

Sister jimena!!! Miss u big time, yaani niko ktk wakati wa kuchagua kazi na jf, n i thnk i will choose jf. Nimewamiss
 
Sister jimena!!! Miss u big time, yaani niko ktk wakati wa kuchagua kazi na jf, n i thnk i will choose jf. Nimewamiss
Miss you too brother! Ila kazi nayo ina umuhimu wake........ Wifi asije akakukimbia, piga kazi tu maana hakuna namna nyingine, huku uwe unakuja mida yetu ileeee ya team Popo
 
mimi kusema ukweli jina lilinijia tu kichwani kipindi najiunga na JF hata sijui maana yake
 
Jitaidini basi kutumia search engines Ili muweze kupata mengi ya zamani yaliokwisha jadiliwa. Ni ushauri tu
 
Kuanzia kidato cha sita nikiwa mpenda electronics kwenye kombi ya PCM hadi nafika chuo, nimekuwa hatari sana kwenye udadavuzi wa kanuni ya Gustav Kirchhoff ya volteji Na mkondo wa umeme. Hiyo imepelekea kupewa jina hilo Na walimu Na wanafunzi.

Na kanuni hiyo (KVL n KIL) huwa na apply kwenye maisha ya kawaida kutokana Na misemo ya Bwana Yesu Kristo kuwa
1. Utavuna Ulichopanda (KVL)
2. Kingiiacho ndicho kitokacho (KIL)

Huku Arusha Mvua zinanyesha Na Hali ya hewa ni nzuri.
 

Safi sana PCM machine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…