wembeee
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 2,708
- 1,353
Pia naona vijana wamecopy thread yako ya 2009?Siye ni kundi la kukosa tu Mkuu, hivyo sioni kama tuna chetu kwa mara nyingine tena msimu huu. Tatizo letu kubwa ni yule Arsene Wenger. Hata FA tumeikosa tena kwa kufunga kwetu.
kweli nimeamini hakuna jipya chini ya jua