avatar yako vipi? nitaarifu na mimiNashukuru kwa taarifa.[emoji120] [emoji120]
ibu kwenye ndoa kuna raha, kuchapiwa ni siri ya ndani na kuchapa ni siri yandani, sema ukioa utajua utamu wa madem wa posta jijini dsm😀😀😀😀 i will take this as a compliment, ila mtoa uzi yuko njiani kuoa. Mungu akisaidia mwezi wa kumi mwaka huu naukimbia useja
Hahahaha Id name ni majina yangu yote hapo ila nimecheza na herufi tu plus bond yangu,Avatar hii nimependa tu maneno na dressing style,ila kuna ile avatar yangu ndo naipenda sana ileeee ya Aishrywa anakunywa wineee ile ndo ina story behind,wewe mtoto wa Juzi Juzi huijui hiyo Avatar.ID na avatar yako nawait maelezo. Karibu [emoji520]
Linamo lilitokea baada ya rafiki yangu mmoja kushindwa kuliita jina langu lote kutokana na urefu wake hivyo akawa ananiita Lina... Hiyo MO inatokana na jina la baba yangu hivyo kipindi najiunga na JF rafiki yangu huyo ndiyo aliyenichagulia jina na kuandika LINAMO.Nashukuru kwa hilo. Hiyo ID yako ina maana IPI?
Mkuu nimekuogopa[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]mimi ya Avatar ya kwangu ni ya character anayeitwa Tony Soprano kwenye series ya The sopranos, hapo kwenye maandishi anakuambia "a wrong decision is better than indecision" msemo ambao naukubali
jamaa tunafanana sana kwa mwonekano na character ndo maana nikamuweka
real G inasimama badala ya real Gangster, kwa maana mimi ni mafia mtaani, ukinizingua nakupoteza chap tu, kwa kutumia vijana wangu
Nimependa huo mchanganyiko wako Katika ID yako kama ulivyoelezea. Ila ile avatar yako ya kwanza naikumbuka vizuri sana. Kwanini uliitoa ile?Hahahaha Id name ni majina yangu yote hapo ila nimecheza na herufi tu plus bond yangu,Avatar hii nimependa tu maneno na dressing style,ila kuna ile avatar yangu ndo naipenda sana ileeee ya Aishrywa anakunywa wineee ile ndo ina story behind,wewe mtoto wa Juzi Juzi huijui hiyo Avatar.
Elezea kidogo.
Nimekupata sana. Ila pole kwa usumbufu wa huko PM aisee. Hii ndo JFWell, Kioo huwa kina akisi yaliyopo mbele ya kioo. Nimetumia KIOO nikiwa kama KIOO CHA JAMII kuakisi yanayotokea kwenye JAMII.
Ila sio kila kitokeacho kwenye JAMII huwakilishwa/huakisiwa na KIOO CHA JAMII mengine huwakilishwa na KIOO CHA JAMII yakiwa yametokea tu kwenye JAMII sio lazma kimtokee moja kwa moja MSANII/KIOO CHA JAMII.
Na ndio mana AVATAR imeakisi kitu ambacho si sawa na MIMI coz mi ni +me hivyo nimekuwa nikipata usumbufu wa kutongozwa na kuachiwa sana namba wakidhani ni -ke bila ya kujua kuwa KIOO huakisi hata yatokeayo kwenye JAMII ambaya hayamtokei moja kwa moja MSANII/KIOO CHA JAMII.
ANGALIZO :
Jamani, wale wapenda nanii muache sasa kunitongoza maana, khaaa...!.
Kama ni mpenzi wa rhymez PM namba yako nkutumie songs japo mbili walau.
HAVE A LOVELY DAY.
[emoji4] .
Nimekupata sana. Ila pole kwa usumbufu wa huko PM aisee. Hii ndo JF
Avatar yangu haihusiani na Mimi japo kuna baadhi ya vitu tunafanana.avatar yako vipi? nitaarifu na mimi
Hilo jina lako lina herufi ngapi?Linamo lilitokea baada ya rafiki yangu mmoja kushindwa kuliita jina langu lote kutokana na urefu wake hivyo akawa ananiita Lina... Hiyo MO inatokana na jina la baba yangu hivyo kipindi najiunga na JF rafiki yangu huyo ndiyo aliyenichagulia jina na kuandika LINAMO.
bila shaka style ya nywele na umbo. safi sanaAvatar yangu haihusiani na Mimi japo kuna baadhi ya vitu tunafanana.
Lina herufi kumi.Hilo jina lako lina herufi ngapi?
Kumbe rafiki ndo alikuchagulia ID, Lina plus Mo nimependa hii
Pamoja sana kaka.No doubt son.
So thanks buddy.
Welcome.
May be[emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]bila shaka style ya nywele na umbo. safi sana
hahaaaaa... sijui nia yao niniKuna watu humu wanatumia majina ya kike na picha lakini ni dume zima tena lina ndevu mpaka ....
Nyingi sana. Mimi langu lina herufi naneLina herufi kumi.