Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

nelly poul is my name.(nelson poul)

hiyo avatar ni mwanasayansi ambaye anaitwa neil armstrong ambaye ndiye mwanasayansi wa kwanza kwenda kwenye mwezi mnamo mwaka 1969.

hiyo kwa ufupi tu thanx
 
Ukiitazama hiyo avatar yangu ni imagination yenye kuleta uhalisia wa eneo flani.

Na kuhusu kutumia jina la EMMYGUY, namthamini, nampenda, na kumheshimu sana mama yangu aitwae EMMY maana tangu kanizaa mpaka nimekuwa mkubwa sasa bado ana mchango mkubwa sana katika kufanikisha furaha yangu.

cc: Linamo, sizzya007.
 
Asante kwa taarifa mkuu
 
Daah! Lengijave.....maeneo ya ngaramtoni mbele mbele huko
 

Sante mkuu, michango ya mama zetu ni infinity ktk maisha yetu, Mungu aendelee kumbariki mama yetu EMMY.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…