Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

nelly poul is my name.(nelson poul)

hiyo avatar ni mwanasayansi ambaye anaitwa neil armstrong ambaye ndiye mwanasayansi wa kwanza kwenda kwenye mwezi mnamo mwaka 1969.

hiyo kwa ufupi tu thanx
 
Ukiitazama hiyo avatar yangu ni imagination yenye kuleta uhalisia wa eneo flani.

Na kuhusu kutumia jina la EMMYGUY, namthamini, nampenda, na kumheshimu sana mama yangu aitwae EMMY maana tangu kanizaa mpaka nimekuwa mkubwa sasa bado ana mchango mkubwa sana katika kufanikisha furaha yangu.

cc: Linamo, sizzya007.
Asante kwa taarifa mkuu
 
mi la kwangu linatokana na sehemu moja huku Arusha panaitwa (lengijave) sasa mi nikawa kila nikichelewa kwenda shuleni....basi kwenye geti la shule nikimkuta ToD akiniuliza why unachelewa namjibu natokea mbali sana....wapi huko,? namwambia lengijave basi ananiachia napita bila kupata adhabu basi wanafunzi wakaanza kunitania ila wakawa wanakosea kulitamka hilo neno huvyo wakawa wananiita Longi basi bwana kwakua mimi nlikua moja ya wanafunzi matajiri nikawa najiita Mapesa wakaaza kuiga ikabidi nibadilishe hadi aina ya uandikaji wake ili niwe wa kipekee ~LONGI MAPEXA.......Naam likawa maarufu sana na nnalipenda kwa kweli kwani hakuna anayeitwa hivyo zaidi yangu mwenyewe
Daah! Lengijave.....maeneo ya ngaramtoni mbele mbele huko
 
Ukiitazama hiyo avatar yangu ni imagination yenye kuleta uhalisia wa eneo flani.

Na kuhusu kutumia jina la EMMYGUY, namthamini, nampenda, na kumheshimu sana mama yangu aitwae EMMY maana tangu kanizaa mpaka nimekuwa mkubwa sasa bado ana mchango mkubwa sana katika kufanikisha furaha yangu.

cc: Linamo, sizzya007.

Sante mkuu, michango ya mama zetu ni infinity ktk maisha yetu, Mungu aendelee kumbariki mama yetu EMMY.
 
Back
Top Bottom