Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani maisha yangu yamekua mepesi sana kwa kutumia torrent kudownload mazagazaga yote nayotaka. Kuanzia vitabu, keys, OS, anti virus, applications, movies, series, music and whatever I want.
Kat.ph ni link ya kuendea kickass torrents.
Yah nmesoma story yako japo wewe inamhusisha na... Nah[emoji4] [emoji4]Story yako almost ifanane na yangu
Nashukuru sana Mkuu, pamoja sana.Asante kwa taarifa mkuu
Yah nmesoma story yako japo wewe inamhusisha na... Nah[emoji4] [emoji4]
J ni herufi ya kwanza ya jina langu! 3 ni idadi ya watoto nilionao na 3 ni idadi ya wanawake niliozaa nao. Neno Duc in Altum ni phrase ya kilatin ikimaanisha " deep down". Avatar ni mbwembwe tu haina maana ya ziada zaidi ya kinachoonekana.
Duc In Altum.
Combination nzuri hiyo wengi wanapenda lakin zinagoma😀 Ndio
Ubarikiwe sana Mkuu kwa maombi yako.Sante mkuu, michango ya mama zetu ni infinity ktk maisha yetu, Mungu aendelee kumbariki mama yetu EMMY.
Much loveNashukuru sana Mkuu, pamoja sana.
Combination nzuri hiyo wengi wanapenda lakin zinagoma
hahhaa humo kwenye hiyo movie kuna doctor mmoja Anaitwa Dr.Ben Sober,Natamani sana kuchange jina langu liwe hilo(Ben Sober) ila sijajua kama JF ina hiyo option...mishe mishe za yule doctor Zina uhusiano mkubwa sana na jinsi nilivyo ayseeNapenda sana uigizaji wa Robert De Niro...
kuna movie inaitwa...Analyze this ..
aliulizwa na daktari 'what do you do for a living?'
akajibu 'i am the boss' 'i don't do anything'..
sijawahi isahau hiyo scene....
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] black and whiteNjoo gheto ubebe na zingine
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sijaelewa unamaanisha nn ! Ila that is what my name here means na hata gar yangu ina logo yenye herufi na namba izo japo sijawah kueleza popote maana yake popote zaidi ya hapa.Mkuu ulivyoandika hapa if i was to describe you in accordance to ur post ningetumia sentensi hii.
Non-nonsense taker😱
hahhaa humo kwenye hiyo movie kuna doctor mmoja Anaitwa Dr.Ben Sober,Natamani sana kuchange jina langu liwe hilo(Ben Sober) ila sijajua kama JF ina hiyo option...mishe mishe za yule doctor Zina uhusiano mkubwa sana na jinsi nilivyo aysee
Natamani kujua kuhusu Nyani Gabu
Hehee... Sina cha kueleza