Kwa ufahamu wangu..hakuna mahusiano yenye 100% Raha au Karaha. Kuna mixture ya vyote na ndio chachu ya mahusiano. Ufahamu wangu huu unaniaminisha kuwa kila mtu ako na madhaifu. Hakuna mkamilifu chini ya jua. Mara nyingi Huwa tunaona kuwa "siko happy na haya mahusiano"...mara "sijui Nina nini mbona sinayo bahati".....hii ni kwa sababu ya asili yetu ya ubinafsi.
Ukiona umeshakuwa na 3 to 4 consecutive relationship afu unajiona Huna bahati mara hauko happy em tukae chini tujitafakari. Jifanyie personal critical evaluation wapi nimeenda wrong??!!...wapi ninakosea.
Tukishajifunza kumuona Kila mtu mwanadamu hakuna malaika, af tena tukajifunza kuwa happiness haiko kwa.mwanadamu Bali Mungu ndiye mwenye kuitosheleza furaha yangu basi hautamuangalia mwanadamu kamwe.
Yeyote iwe Mme, mke, mtoto, rafiki, ndugu, mzazi..anaweza enda wrong akakuumiza probably. Lakini kwa kuwa Mungu ndie mwenye kutupa amani ambayo hatutaipata duniani kamwe atajaziliza pale mwanadamu aliposhindwa kuprovide hiyo furaha.
Tujifunze kumuona Kila mtu ni mwanadamu...afu mioyo yetu itasuuzuka sana. Mahusiano mazuri yanatutaka tujitafakari where do we get/rely on for our happiness.
Anyways suluhisho la mahusiano hayo ni kuondoka..ila tafakari pia hili..zuri beba baya acha..linaweza likawa msaada kwa namna Moja ama nyingine..
#nimtazamotu#