Nini suluhisho ya mahusiano yanakunyima amani ya moyo?

Nini suluhisho ya mahusiano yanakunyima amani ya moyo?

Mkuu relax,,, mapenzi ni ufalla flani tu hivi wa muda na Maisha ya Fairy tales huwa ni mengi humo kuliko uhalisia...

Jipe raha,,, nasisitia jipe raha,,, Furaha yako iwe kipaumbele sana... Make sure chochote kitakacho haribu furaha yako kifanye upembuzi yakinifu... Ujue kama kinastahili hilo... Worth it.

Fanya yote ila usiingie majaribu USIOE,,... Amani ya moyo utakuwa nayo muda wote
 
Kwan ww kipaumbele chako kwenye ayo mahusiano ni kipi/vipi?

Kama aman ya moyo wako sio kipaumbele cha mahusiano yako we endelea nayo tu ila kama ni moja ya kipaumbele chako achana na ayo mahusiano
 
Back
Top Bottom