Inaweza kuwa kipindi cha redio au tv kilicho katika mfumo wa sauti kikawekwa kwenye internet ili usikilize au udownload.Habar wakuu, mimi ni mgen kidogo kwenye matumiz ya app ya spotify
Ninachofaham ni ku search nyimbo na kuiskiliza , mbaya zaidi ninapochagua nyimbo unakuta nikii play ina play nyimbo nyingine
Ukiachana na hiyo kuna kitu kingine nimekutana nacho kinaitwa podcast sasa naomba nifahamishwe nini tafsiri ya hiyo kitu na pia inatumikaje ili kama ipo vzr na mimi wa sitimbi niweze tumia
Mwisho kabisa nahitaji kujua apple music app na spotify app ipi ipo vzr zaid? Na jeh! Apple music nayo wana free au ni kulipia tupu?
Asanten nawasilisha
Sante sana kwa ufafanuzi mzur mkuu, hapo nimekupataPodcast inakuwa kama kipindi cha redio, watu wanaongea mambo fulani, mara nyingi na wataalam, au hata marafiki tu, kutegemea na maudhui.
Kwa hiyo mara nyingi ni maongezi tu, si muziki.
Mimi nina download podcasts kwenye gPodder. Nyingi ni za habari, sayansi, historia, mazingira, vitabu.
Ukifuatilia podcast nzuri unaweza kuelimika sana.
Juzi nilikuwa nasikiliza podcast ya Empire, episode moja, ya 49 kama sikosei, walikuwa wanaongelea historia ya mgogoro wa Waisraeli na Wapalestina. Wameelezea historia ya mgogoro vizuri sana.
View: https://open.spotify.com/episode/67Mz5XslS4pPwGtIfGoyYJ?si=Y-IR25ocSQ6OfZFxV0n2HA
Kwa hiyo, kama unapenda vitu fulani, unaweza kutafuta podcast yake ukafaidika.
ivi ule mpira wa simba na yanga wa goli 1-5 naweza upata hukoInaweza kuwa kipindi cha redio au tv kilicho katika mfumo wa sauti kikawekwa kwenye internet ili usikilize au udownload.
Au yanaweza pia kuwa mahojiano au majadiliano ya mada fulani au mafunzo pia
Yeah.Sante sana kwa ufafanuzi mzur mkuu, hapo nimekupata
Na hiyo gpodder ni dowloader au kitu gan?
Ukitaka cha bure ni ViMusic tu, nayo utaila wake mpkaa VPN ndo ui access make wanatumia YouTube music library, so mahali ambapo hakuna youtube music huwezi access bila VPN.Habar wakuu, mimi ni mgen kidogo kwenye matumiz ya app ya spotify