Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
Tumekoma na hili halitajirudia tenaMimi nimezungumzia jee Zanzibar kuwa koloni la Tanganyika ni sawa? Sijapata jawabu kutoka kwako. Ni wapi Tanganyika imeingiliwa na Wazanzibari? Wazanzibari wapo kama raia wa Tanzania kama ilivyo kwa wale wanaojiita Watanganyika na Tanganyika yenyewe imeondolewa na Watanganyika wenyewe kitambo, sasa wanalalamika kwa kuwa rais anatoka Zanzibar lkn akitokea Tanganyika kimya! Nani kakudanganya kwamba Tanzania iongozwe na Watanganyika tu? Mulipokuwa munapigania kuunganisha kijinchi kidogo na lijinchi kubwa hamukuliona hili? Sasa hili lipo nyinyi endeleeni kulialia uongo tu. Nasi tupo.
Kwa ninavyokujueni, hakuna kitu kama hicho kwani nyinyi munatishwa na kivuli chenu. Ngojeni karibuni madhabahu, akina Lukuvi and the like watakuja kwenu.Tumekoma na hili halitajirudia tena
Saada Salum Mkuya.Mtaje
Huyu alikuwa naibu Waziri ila hakudumu sana kweny Baraza MawaziriMaua Daftari
Si tunang'ang'ania wenyew muunganoWaziri wa Fedha mteule ni Mh. Balozi Khamis Mussa Omary.
Huyu ni Mzanzibar, ndiye mrithi wa Mwigulu Lameck Nchemba.
Unapata tafsiri gani kwa mzanzibar kupewa Wizara nyeti ya Fedha?
Unaota ndoto za mchana. Hivi kuna wizara ya Fedha ya Jamhuri ya Wadanganyika?MARAAA PAAAH TUTASIKIA AMESAINI , MKABATA WA MIAKA 50 , WA USHIRIKIANO NA WAARABU KUSIMAMIA WIZARA YA FEDHA YA JAMHURI YA WADANGANYIKA....
WALAHI MTUME NA MIMI NTAANDAMANA TUUUU.
Mzanzibar sio Mtanzania?Waziri wa Fedha mteule ni Mh. Balozi Khamis Mussa Omary.
Huyu ni Mzanzibar, ndiye mrithi wa Mwigulu Lameck Nchemba.
Unapata tafsiri gani kwa mzanzibar kupewa Wizara nyeti ya Fedha?
Unaota ndoto za mchana. Hivi kuna wizara ya Fedha ya Jamhuri ya Wadanganyika?
Saada MkuyaMtaje
Hii ndo wizara? Nimecheka sana. Nusura nikasirike.Saada Mkuya
CODE. Imesomeka ulikimbia umande , basi BANA .....Rudi shuleUnaota ndoto za mchana. Hivi kuna wizara ya Fedha ya Jamhuri ya Wadanganyika?
Kwamba wao ndio wenye kutoa mchango Mkubwa , kwenye mfuko Mkuu wa taifaWaziri wa Fedha mteule ni Mh. Balozi Khamis Mussa Omary.
Huyu ni Mzanzibar, ndiye mrithi wa Mwigulu Lameck Nchemba.
Unapata tafsiri gani kwa mzanzibar kupewa Wizara nyeti ya Fedha?
Kati yangu mimi na wewe ni nani kakimbia umande? Hata kuandika kwa usahihi unashindwa! Sasa kama unajidanganya kwamba unajua, waoneshe watu ulichoandika na nilichokujibu halafu waulize usahihi wakuambie. Unajidanganya hata kudesa hujui. Ni kichekesho.CODE. Imesomeka ulikimbia umande , basi BANA .....Rudi shule
YES YOU ARE RIGHTKati yangu mimi na wewe ni nani kakimbia umande? Hata kuandika kwa usahihi unashindwa! Sasa kama unajidanganya kwamba unajua, waoneshe watu ulichoandika na nilichokujibu halafu waulize usahihi wakuambie. Unajidanganya hata kudesa hujui. Ni kichekesho.
Kwaiyo hupend zanzibar kuwa na maendeleo?Majibu utakuja kuyaona muda si mrefu pale Zanzibar itakapogeuka kuwa Dubai kupitia kodi zetu Watanganyika.
Nyerere katika hili, kwa kweli hukututendea haki Watanganyika wenzako. Maana wewe ndiye uliyetuletea huu muungano wa hovyo, katiba mbovu ya 1977, na hii ccm yako iliyotekwa na wahuni.
Fanyeni hayo maendeleo kwa kutumia jasho lenu, na siyo kwa jasho la Watanganyika.Kwaiyo hupend zanzibar kuwa na maendeleo?