CHOTARA MSUYA
New Member
- Jun 30, 2013
- 3
- 0
Inawezekana kabisa ndoto yako ni kweli lakini ya mpenzi wako sio kweli, sasa amekwambia hivyo ili ushindwe kufuatilia kwa sababu kama utakuwa unaamini katika ndoto na yeye pia kaota kama ya kwako, kama utajifanya kuuliza uliza atakwambia ni ndoto tu mbona hata mimi nimeota unashiriki na mdogo wangu kwa hiyo ni kweli umeshiriki naye, hapo inabidi ulale tena uone kama ndoto itajirudia, ikijirudia tu shituka.mm jana nimeota mpnz wang anafanya mapenzi na kaka wang wa damu toka nitoke, asubuh kulipokucha nikawa natafakar kuhusu hiyo ndoto so nikamua kumpgia cm mpnz wang na nikamuambia kuhusu hiyo ndoto, yy nae akaniambia ameota uck huo huo kuwa anafanya mapenz na mdogo wang wa damu, wakuuu nikabak nimeduwaaaaa tu cjui cha kufanya, je kuna mtu mweny ufaham kidogo na hiz ndoto??
Yaweza kuwa ndoto tu kama ndoto nyingine zozote ambazo umewahi kuota na hakuna lolote lilitokea zuri ama baya.
endelae kulala utapata kufumania kabisa!mm jana nimeota mpnz wang anafanya mapenzi na kaka wang wa damu toka nitoke, asubuh kulipokucha nikawa natafakar kuhusu hiyo ndoto so nikamua kumpgia cm mpnz wang na nikamuambia kuhusu hiyo ndoto, yy nae akaniambia ameota uck huo huo kuwa anafanya mapenz na mdogo wang wa damu, wakuuu nikabak nimeduwaaaaa tu cjui cha kufanya, je kuna mtu mweny ufaham kidogo na hiz ndoto??