kwanini unauliza? maana umesema wewe ukiota.................. inakuwa...............
Kunanini hapa?mimi nahofu, mara nyingi nimekua nikiota mambo au matukio na yanakuwa kweli
shetani anainyemelea ndoa yako kwa ndoto za uongo kemea kwa jina LA Yesu. tubu kwa mashaka yako maana undo mlango anaoutumia adui.
Itakuwa kuna mtu alimkis mkeo mwanao akaona..kituambacho kiukweli nimeshindwa kukitafsiri,uje iko kama utani vile ila nikweli maana kuna incidence ambazo ziwezi kuzieleza kabisa i iwish kama tungekuwa na uwezo wakuzirecord kukuziplay ndoto kila mmoja akaona..
bahati mbaya sheikh yahaya hatuko naye tena.
Ila kwa uzoefu wangu wa kindotondoto, mkeo ana mimba changa ya mapacha. Mimba ina mwezi sasa. Kama hujakutana naye kimwili zaidi ya mwezi mmoja, ukae ukijua kabisa kitanda hakizai haramu.
Baada ya kusema hayo nakushauri uende ukafanyiwe maombi ili pepo la wivu likuwache miaka mia. Then umchukue mkeo uishi naye kabla hujaanza kulea watoto wa wanaume wenzio.
Unavyowaza ndivyo unavyoota,futa fikra mbaya juu ya mkeo.,fanya kazi Kwa bidii mshirikishe Mungu akulindie namba yako
Maana imeandikwa...'ukiniweka mm kuwa mlinz basi hata mbu hatakuuma...
#kila binadamu amepewa uwezo wa kujua kitakachotokea mbeleni Ila ni mapuuza yetu.....
Bahati mbaya Sheikh Yahaya hatuko naye tena.