Hilo kiroho(Bible) inamaana kama wewe ni mkristo au muislam sehemu unayo abudu unalishwa mahubir au neno lisilo na power for that reason hata kama kuna matatizo yatakayokua yanakuja kwako yatakupata vizuri tu cos hauna roho mtakatifu bali roho wa kidunia ambae hawezi kukusaidia kwa shida yeyote,
so solution: tafuta mtumishi yeyote mwenye nguvu( upako) ataweza kukulisha neno la kweli na neno ndilo linalo mkaribisha roho mtakatifu na roho mtakatifu ndio ane kukonect wewe na God. hope nimeeleweka
na hii inaendana na ushauri mmoja hapo juu sema yeye kaishia njiani