Nini tafsiri ya ndoto hii ?

 
Weka picha aisee

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Ni girl but never try such a thing best.

hiyo siyo staili yangu ya starehe but nashangaa tu kuota vitu kama hivyo,ndo nikadhani pengine wewe ni mtumiaji au mtoaji wa vitu hivyo ndo maana unaviona katika ndoto
 
nkuulze TAFITI ndoto mbaya n zle znazohuciana na maji kivp eti?

Sio rasmi mkuu ila wazee walikua wanatuambia. Kama umeota mafuriko, unavuka maji, mvua au chochote kinachohusiana na maji vyovyote mkuu, ata umeenda sehemu umekuta maji na mfano wake
 

upo uwezekano kwa mema utayoyatenda ukitaraji mema, badala yake yakakugeukia kuwa machungu. Nikatika mambo

muhimu sana kwa maisha na ustawi wako. (note sio lazima ndoto irejeshe uhalisia-vema kuipuuza)
 
Mwenzio nilishaota nimelala na JK, kesho yake nikaota nimelala na Mwigulu... lol!
Nilikemea kwa Jina la Yesu, sijawahi rudia tena kuota njozi za kipuuzi kama awali, so kemea......
 
Nimeota mimi mwenyewe na niliwahi kuiota pia, hii ni kama mara ya 2 au 3,iko hivi; natokea magari wawili ya kubebea pesa yanapinduka(ni katika mji ambao sijawa kuuona ila mazingira na matukio kati ya ndoto hii na zilizopita yanafanana), watu wengi wanaenda kuokota pesa ambazo ni dollar lakini mimi siendi naendaelea kutembea, baadae wenzangu wawili niliokuwa nao lakini walienda kuokota dollar wanarudi nazo na wananipa nyingine niwashikie wao wananipa dollar 250 zote walizokuwa nazo na wanabaki na dollar ambazo ni dollar 20, 10 na nyingine lakini hakuna kubwa kufikia note za dollar 250 aliyenipa hela nishike ni mtu niliyesoma nae chuo kikuuna huyu mwingine ni ndugu yangu na inaoneka walikubaliana wagawane baadae, mtende inaonekana anataka kama baadadhi ya note za dollar 250 anataka kumdhulumu ndugu yangu,natambua hilo kwa kumwangalia machoni na mm nakuwa kama nimekubaliana nae.

Mimi naelekea mahali pengine na wao pengine kwa miadi ya kukutana baadae, mimi naangaika na kutafuta bar hili nile ghafla rafiki yangu ananipigia simu kuwa niende kuongea na simu kwenye jengo alimokuwa ambalo ni kama benki kuu hivi ananitajia jina la mtu anayetaka kuongea na mimi, ni mtu ambaye nimemfaham kupitia ndoto niliyoota before ndoto hii kwa maana ndoto zilipandana na siikumbuki hiyo ndoto ila nakumbuka kuwa namfahamu huyo jamaa, namwambia rafiki yangu a-transfer call kwenye simu yangu ya kiganjani lakini anakataa na mimi namuona kwa kuwa jengo lilikuwa mbele yangu,

Wakati naenda kuwaona nilitereza nikaingia kwenye dimbwi dogo la matope machafu sana na kunauwezekano tope likawa limechanyika na kinyesi.

Sandles zangu zinapotelea humo, natoka humo nafika ili kuongea na simu kumbe ni mtego wale wenzangu walikuwa wameshikwa na walitumika ili na mimi nishikwe,wakati nashuka na watu wa benki kwenda ukaguzi na dollar ninazo mfuko nafkria nifanye nn mara ndugu yangu ananipa 12,000 ni niwape wakaguzi wasinifunge, wakati nafikiria udogo wa 12,000 huku nazipokea nikawa najaribu kutoa hizo dollar nimpe ndugu yangu ili nisikutwe nazo ikawa inaniwia viggumu na ndoto ikaisha.

Naombeni tafsiri wana jamvi,si mara ya kwanza kuiota, si kila mtu ana kipawa cha kutafsiri ndoto na ipo mpaka kwenye vitabu vitakatifu, mimi nimeshindwa kuielewa naomba mwenye kuielewa anisaidie
 

....kijana unahitaji maombi haraka sana...huyo ni jini mahaba anakunyemelea,hakikisha kabla ya kulala unapiga mswaki....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…