Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Hiyoo ya kuota eneo ulikuepo zamani ni ya mizimu ya kwenu omba kabla hujalala
hiyo pia ni ndoto ya ubongo.. Lakini huwa pia ni ndoto ya shetan ambapo hukuotesha au wanga wanakuwangia inakua mtafaruku huku uote huku unachezewa huez elewa kitu.. Ni heri uwe unafanya ibada ili mungu akuongeze.. Karibu
mkuu rakims,kutafsir ndoto ni kazi ya Mungu,unless you have revelation from the Holy Spirit!
hiyo pia ni ndoto ya ubongo.. Lakini huwa pia ni ndoto ya shetan ambapo hukuotesha au wanga wanakuwangia inakua mtafaruku huku uote huku unachezewa huez elewa kitu.. Ni heri uwe unafanya ibada ili mungu akuongeze.. Karibu
Mie kuna ndoto mbili common haipiti mwezi lazma niote...
1)nimeenda kwetu jamaa wa baba siku ya kurudi kwangu nasahau nguo zangu nizipendazo au kila nkizitia kwenye begi simalizi hadi nakaribia kukimbiwa au hata siku iishe nakunja hizo nguo
Hii kama miezi 6 sasa naiota....
2)naendesha gari ila nkitaka kufunga breki kila nkijitahidi nkikanyaga breki haikubali....ndoto hii kama 2 years na zaidi ila kwenye hiyo ndoto sikuwahi kugonga mahali au kupata ajali nahangaika tu nisigonge popote ila kusimama ndio kasheshe
Ndoto ya kuota umekuwa popo bawa na unamuingilia bosi wako huku ukimwambia niongezee mshahara, halafu asubuhi inayofuata bosi anakupa barua ya increment, je hiyo ni ndoto ya mola, shetani au ubongo?
hivi hao majamaa (wanga/ wachawi) wanakuibukia hata kama hujawachokoza?
Kilasiku naota napaa, hii inamaanagani?
Sheikh Yahya karudi kivingine.
Leo ni mara ya pili nimeota nagombana sana na mama yangu mzazi! Hii ina maana gani?
mi nimuota sana msichana alieniacha,amerudi na nakuwa namlaumu sana lakini nafurai kurudiana nami na ni mara nyingi sana namuota sijui kwa nini? na pia kuna kama mara 3 hivi nimeota mbuzi wanapandana na mimi kuangalia najikuta nimeshajichafua,mara nyingine nimeota paka wanapandana namimi kuona najikuta nimejichafua pia na mara ya 3 nimeota nafanya mapenzi na dada ninayemfahamu na ninamuheshimu nikajikuta nimejichafua pia, naomba msaada kwa hilo.