Nini tafsiri ya ndoto hii ?

Nini tafsiri ya ndoto hii ?

Kuna maono pia (ndoto), shetani huzichukua na mtu uamkapo hujikuta hakumbuki kitu. Na ukona hivyo ujue ile ndoto ili kua na ujumbe wa kiukombozi au mpenyo wa jambo flani. Kinachotakiwa kuomba Roho Mtakatifu akufunilie au nenda kwa Mtumishi wa Mungu akuwekee mikono

hiyo pia ni ndoto ya ubongo.. Lakini huwa pia ni ndoto ya shetan ambapo hukuotesha au wanga wanakuwangia inakua mtafaruku huku uote huku unachezewa huez elewa kitu.. Ni heri uwe unafanya ibada ili mungu akuongeze.. Karibu
 
Mie kuna ndoto mbili common haipiti mwezi lazma niote...

1)nimeenda kwetu jamaa wa baba siku ya kurudi kwangu nasahau nguo zangu nizipendazo au kila nkizitia kwenye begi simalizi hadi nakaribia kukimbiwa au hata siku iishe nakunja hizo nguo

Hii kama miezi 6 sasa naiota....

2)naendesha gari ila nkitaka kufunga breki kila nkijitahidi nkikanyaga breki haikubali....ndoto hii kama 2 years na zaidi ila kwenye hiyo ndoto sikuwahi kugonga mahali au kupata ajali nahangaika tu nisigonge popote ila kusimama ndio kasheshe
 
Ndoto ya kuota umekuwa popo bawa na unamuingilia bosi wako huku ukimwambia niongezee mshahara, halafu asubuhi inayofuata bosi anakupa barua ya increment, je hiyo ni ndoto ya mola, shetani au ubongo?
 
hivi hao majamaa (wanga/ wachawi) wanakuibukia hata kama hujawachokoza?
 
hiyo Ya Kwanza Inakukumbusha Mila Za Kwenu Either Mambo Ya Kutambikia Kuna Vitu Unatakiwa Uwe Navyo Vya Kwenu Kwa Karibu Au Wazazi Inakupa Taarifa Ukumbusho Umesahau Kwenu... Ya Pili Hiyo Ukilifanya La Ndoto Ya Kwanza Basi Ya Pili Utasimama Vizur Na Kuona Unakutana Na Mtu Au Kitu Kipya Hiyo Huashiria Mfano Wa Mtu Anaehama Dar Kwenda Kutafuta Maisha Mwanza Hali Ya Kuwa Rizki Zake Na Mafanikio Yamepangwa Dar.. fanya Ya Kwanza Itafungua Ya Pili Ahsante.. Karibu
 
Ndoto ya kuota umekuwa popo bawa na unamuingilia bosi wako huku ukimwambia niongezee mshahara, halafu asubuhi inayofuata bosi anakupa barua ya increment, je hiyo ni ndoto ya mola, shetani au ubongo?

hiyo ni ya shetani.. Na ndoto kama hizo huotwa na mtu pindi anapovuta sana mabange au kilevi chochote kizito.. Na ukiota hivyo au kuwaza hivyo rejea kwa mola wako.. Maana karibia utaehuka. Karibu
 
hivi hao majamaa (wanga/ wachawi) wanakuibukia hata kama hujawachokoza?

wao kazi yao ni kuona watu wanahangaika bila mafanikio hivyo hawachagui wa kumuwangia wakikuona huna iman bac watakushika mpaka makalio lakin ukiwa mgumu wao huona maji au moto wanapokufata.. Vitu ambavyo kwao ni sumu mbaya kabisa,.
 
Kilasiku naota napaa, hii inamaanagani?

wenye lugha yao wanasema ngoma ikipigwa sana hupasuka... Ntakusaidia hivi kuota unapapa inachukua nafac zote, ya muumba,ya shetan, na ubongo.. Sasa ili kujua imetoka wapi... Ya mwenyezi mungu ni ile watu wabaya au wanyama wanapokukimbiza wewe hukimbia speed na kupaa wao ukawaacha wanakuangalia tu.., ya shetani utaota unapapa na utafurah kwani wakati unapaa utaona raha na kujihic hakuna kama wewe lakin unapoenda kutua lazma udondoke, ya ubongo utapaa speed taratibu lakin hutanaswa na ukifika juu utadondoka speed lakin hautafika chini utazinduka... Sasa sijui umepaa vipi wewe
 
Leo ni mara ya pili nimeota nagombana sana na mama yangu mzazi! Hii ina maana gani?
 
mi nimuota sana msichana alieniacha,amerudi na nakuwa namlaumu sana lakini nafurai kurudiana nami na ni mara nyingi sana namuota sijui kwa nini? na pia kuna kama mara 3 hivi nimeota mbuzi wanapandana na mimi kuangalia najikuta nimeshajichafua,mara nyingine nimeota paka wanapandana namimi kuona najikuta nimejichafua pia na mara ya 3 nimeota nafanya mapenzi na dada ninayemfahamu na ninamuheshimu nikajikuta nimejichafua pia, naomba msaada kwa hilo.
 
Leo ni mara ya pili nimeota nagombana sana na mama yangu mzazi! Hii ina maana gani?

ni tahadhali yaweza kuwa unatafutiwa tafaruki ili ukose maelewano na mzazi wako.. Badilika onyesha mapenzi zaidi kwa mzazi wako....
 
mi nimuota sana msichana alieniacha,amerudi na nakuwa namlaumu sana lakini nafurai kurudiana nami na ni mara nyingi sana namuota sijui kwa nini? na pia kuna kama mara 3 hivi nimeota mbuzi wanapandana na mimi kuangalia najikuta nimeshajichafua,mara nyingine nimeota paka wanapandana namimi kuona najikuta nimejichafua pia na mara ya 3 nimeota nafanya mapenzi na dada ninayemfahamu na ninamuheshimu nikajikuta nimejichafua pia, naomba msaada kwa hilo.

jitahidi Kufanya Ibada Mashetani Wa Kijini Mahaba Wanakufatilia Usipopata Msaada Utaota Siku Moja Dada Au Mama Wa Kambo, Au Shangazi Unamdandia Ujue Hapo Imefikia Pabaya Omba Msaada Jitahidi Kutumia Dawa Za Kuvukuza Mashetani Wa Mahaba Huleta Ufakiri... Nifate Pm Takuelekeza Ununue Dawa Zipi Utathibitisha Hili..
 
ndoto za hapa vituko mwanzo mwisho!...hahahahahah
 
Back
Top Bottom