Nini tafsiri ya ndoto hii ?

Mi nikiota nang'atwa na mbwa huwa siku tatu zinazofuata napata pesa nyingi;
.................. Kwako sijui;
 
mmmhh, bia ni ngumu kumeza mkuu! sijawahi hata kunusa harufu yake.
jisni unavyo tafsiri ndoto. inaweza kuwa ni kitendo cha kawaida kinacho kuwa katika mawazo yako na hivyo kitajirudia mara kwa mara maana utakuwa unajitahidi usukiote na hivyo utakuwa unakiwazia na hivyo kitajirudia ...cha maana soma vitabu na kuwa na maongezi ya faraja na mbadala, baada ya muda ndoto itapotea yenyewe, pia usichukulie kama hii ndoto ni swala la zito kwako chukulia ni kitu cha kawaida sana....
 

Jee unakumbuka kabla ya kung'atwa huwa unafanya nini? (ktk ndoto)
 
...yatakuwa ni yale mapepo ya kile chama cha kijani yanakuandama kutokaba na msimamo wako wa kuunga mkono rasmu ya katiba...
 
Mbwa ni mpezi wa binadam, wa kufuga!
Una mke/mume Huenda ndiye anayekung'ta
 
Mkuu habari yako....Ndoto ni elimu iliokua ni pana sana...na kikwaida mara nyengine huwezi kutafsiri ndoto bila kujua aina ya mtu alieota....ndoto moja inaweza ikaotwa na watu wa2 tofauti na ikawa na maana tofauti.... Na sio kila ndoto ni mambo ya pepo (mashetani)...umesema unaota "unatafunwa na Mbwa"...Hapa tungalie vitu 2...anaetaufunwa na Mtafunaji....Kikawaida mbwa ni mnyama alieumbwa makhsusi kwa ajili ya ulinzi..kwa hio mbwa anaemtafuna mara nyingi ni mtu asiehitajika kuwepo kwenye maeneo fulani "a.k.a mtu mwizi"...kwa hio yawezekana kuna wizi au dhulma unaifanya na Mwenyezi Mungu anakuletea Mbwa huyu kukukataza uovu unaoufanya.....Pili Mbwa ni mnyama anaependa sana kula mizoga...kwa hio inawezekana wewe mhusika unafanya matendo ambayo hukumu yake ni kuuliwa...ndo kusema "wewe ni mfu unaetembea" kwa hio mbwa huyu anakula mzoga wako...matendo hayo ni kama kufanya zinaa....kufanya vitendo vya sodoma gomola a.k.a Liwati....kwa hio tafsiri ya ndoto yako ni massage unayoletewa juu ya maasi unayoyafanya na unatakiwa kuwacha...
 





Umeeleza vizuri mkuu
 
mbwa ni roho ya uzinzi hivyo kama amekungata inamaana wewe ni mzinzi na mwashareti upesi badilisha maisha yako toka kwenye uzinifu
 
Roho ya uzinzi inakufuatilia,inabidi uivunje hiyo roho
 
To dream that a dog bites you on the leg suggests that you have lost your ability to balance aspects of your life. You may be hesitant in approaching a new situation or have no desire to move forward with your goals. Alternatively, it symbolizes disloyalty. To dream that someone is bitten by a dog indicates a betrayal. You feel that you have been wronged by this person.
 
Jee unakumbuka kabla ya kung'atwa huwa unafanya nini? (ktk ndoto)

hata bila kufanya chochote hunijia ndotoni na imekuwa ikijirudiarudia mara kwa mara yapata miaka 15 sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…