mpenzi ninaye, lakini ikipita wiki hatujangombana nashangaa sana. simaanishi kupigana, ila tunakorofishana vijimaneno vidogo,mara ananinunìa bila sababu,mara nahisi kumchukia. in short mahusiano yangu huwa hayadumu kwa muda mrefu. ninaweza kuwa na mahusiano na mtu halafu yakaishia hewani hewani bila hata kugombana yaani yanapotea tu.
Kwa mi ninavyofahamu ndoto zinatokana na mawazo ya kilasiku ya mwanadamu so labda unawaza sana kuhusu hivyo vitu.cha kufanya jaribu kupeleka mawazo yake sehemu nyingine
Chimbuvu pastor convenant son umeshusha mistari mpk nikasema duu... ningejua ulikuwa unanisumbua usiku kwa ajili ujumbe mzuri km huu, nisingekutania tania...good job dogo
kulngana na imani yko mumbe sana mungu, sio jambo zuri kwakwel...myb nkuulze swal? Je una boifrnd?
Informative article on dreams 12 of Your Most Common Dreams?and What They Mean - Weird Worm
Aisee hayo ni mapepo na kweli umeshazaa nayo ktk ulimwengu wa kiroho. Kimbilia kanisani haraka sana!
Au ingia humu <www.scoan.org> utaona link ya kutuma prayer request. Pia kuna no za simu (prayer lines) wapigie, watext muombe pamoja!
mbona kanisani huwa naenda kama kawaida? je hiyo si ni website ya tb joshua ama?
Ndio ya TB Joshua,
kuna kwenda kanisani na kujizamisha katika Roho Mtakatifu. 'Most of as are Christian by profession but not so in heart'.
my dear, to be honest huwa sina imani na makanisa ya kiroho kabisa. na ili maombi yako yafanikiwe unahitaji kuamini na kama huna imani yote ni bure