Nini tafsiri ya ndoto hii ?

Nini tafsiri ya ndoto hii ?

aisee ni noma ila nasikia sometimes ni ishara kuwa utakuwa tajiri kwani unaamka umeshiba?
ila unafaido?unakula bure aisee!
Mh nyma za watu?
Ntaanza kulala mchana usiku na kesha hawanipati tena hawa!
 
water inolves two things in your drem
1st is to emphasize the positive, water is often a symbol of new life, refreshment, and vigor. Water in manageable amounts or controlled settings almost always conveys this sentiment to the dreamer. Controlled water is the key.
2nd but sorry my dya one; is that expanded water became a necessary evil that harbored unknown dangers
for you i pray to alminghty to be the point of your changes ... new life:behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa:
 
mimi kiukweli siamini katika ndoto wala huwa sina time na ndoto nikiota nimeota tu!
lakini kwa sasa nimeona sio jambo la kawaida maana ni wiki sasa kila siku naota naogelea kwenye maji meengi jamani
au ndo naenda kurest in peace?
ni kawaida jamani au nishalogwa
nisaidieni mwenzenu
kabla ya kulala huwa nasali sana wala sifanyi dhambi usiku
naogopa hata kulala siku hizi maana nikilala tu bwawa la mtera linanihusu full kuogelea ,nakomaje???????

Mie si mchambuzi saaaaaaaaana wa ndoto, lakini kwa ndoto hiyo ni mwashirio kuwa kuna tatizo la moja kwa moja kwako wewe binafsi au katika familia linaweza kuwatokea japo si kwa 100%.
 
Smile, wee endelea tu kuota hivyo, hata mi mwenyewe ni wiki sasa naota kila siku nimekuwa mamba.
Nikikukuta kwenye anga zangu lazima NIKUTAFUNE
mimi kiukweli siamini katika ndoto wala huwa sina time na ndoto nikiota nimeota tu!
lakini kwa sasa nimeona sio jambo la kawaida maana ni wiki sasa kila siku naota naogelea kwenye maji meengi jamani
au ndo naenda kurest in peace?
ni kawaida jamani au nishalogwa
nisaidieni mwenzenu
kabla ya kulala huwa nasali sana wala sifanyi dhambi usiku
naogopa hata kulala siku hizi maana nikilala tu bwawa la mtera linanihusu full kuogelea ,nakomaje???????
 
Last edited by a moderator:
We usihofu kwani maji yanaashiria uzima na kuzaliwa upya kiiman at the same tmy ni maafa ama maangamizo bt kwakuwa huzami bac watever the challenge ur facing utakuwa ok zidisha maombi kama wadau walivyosema
ohooo ni nini jamani? niombee silali tena kwa kweli
 
Mungu huwa ananena na watu wake kwa kutumia njia ya sauti,maono na ndoto(daniel na yusuph).Hii itakusaidia
ukiona unaota unaogelea jua kuwa utapitia ktk majaribu lakini utayashinda
ukiona unaota unakula hiyo sio nzuri,waweza ugua ama unalishwa na wachawi
ukiota ukaona gari limepaki mbele ya nyumba yenu likiangalia pa kutokea ujue msiba utatokea hapo
ukiona mtu mkuu akikupigia cm na kukurekebisha ujue ni Mungu anakuambia makosa yako
na kuna ndoto zingine ni ujumbe direct kama mtahitaji maelezo mtaniambia,ila inabidi uwe unamuomba roho mtakatifu akusaidie,nami nina gift upande huo kabla ya suala kutokea ktk familia yetu na maisha yangu huwa naota na vitu huja kutokea kama nilivyoota
 
Mie si mchambuzi saaaaaaaaana wa ndoto, lakini kwa ndoto hiyo ni mwashirio kuwa kuna tatizo la moja kwa moja kwako wewe binafsi au katika familia linaweza kuwatokea japo si kwa 100%.
ohhooo jamani why me? mbona nina matatizo kibao jamani Mungu wangu ninusuru jamani
 
mimi kiukweli siamini katika ndoto wala huwa sina time na ndoto nikiota nimeota tu!
lakini kwa sasa nimeona sio jambo la kawaida maana ni wiki sasa kila siku naota naogelea kwenye maji meengi jamani
au ndo naenda kurest in peace?
ni kawaida jamani au nishalogwa
nisaidieni mwenzenu
kabla ya kulala huwa nasali sana wala sifanyi dhambi usiku
naogopa hata kulala siku hizi maana nikilala tu bwawa la mtera linanihusu full kuogelea ,nakomaje???????

..

....

Kuna namna ya kufuatilia ndoto,

Basi tu watu hawafuatilii hata wakiambiwa..

Nunua Daftari, Kila siku ukiota ndoto amka andika ulichokiota..fanya hivyo kwa mwaka mzima. Ukija kuangalia ulichoota na maisha yako halisi utashangaa!!..ni ngumu lakini ni njia rahisi ya kujua ndoto zako zina maanisha nini!!

Kwa mfano mimi kuota naogelea kwenye maji mengi ni ishara ya kufanikiwa licha ya vikwazo vingi!!

Lakini ungeota unazama ingekuwa ndiyo dhahama inakunyemelea...
 
Kwa ninavyofahamu ndoto huwa haijirudii, ila kama yako inajirudia kila siku basi inawezekana kuna tatizo siriaz la kiroho, waone viongozi wako wa dini!!!
 
ndoto zingine zinatisha mkuu
 
Kwa ninavyofahamu ndoto huwa haijirudii, ila kama yako inajirudia kila siku basi inawezekana kuna tatizo siriaz la kiroho, waone viongozi wako wa dini!!!
ni kweli ndo maana nimeuliza hata ninashangaa hili jambo kwa kweli..yaani nikilala tu kuogelea kunanihusu hadi najilalia na nguo za kuogelea tu sasa ,ngoja nitafute na boya leo
 
Mungu huwa ananena na watu wake kwa kutumia njia ya sauti,maono na ndoto(daniel na yusuph).Hii itakusaidia
ukiona unaota unaogelea jua kuwa utapitia ktk majaribu lakini utayashinda
ukiona unaota unakula hiyo sio nzuri,waweza ugua ama unalishwa na wachawi
ukiota ukaona gari limepaki mbele ya nyumba yenu likiangalia pa kutokea ujue msiba utatokea hapo
ukiona mtu mkuu akikupigia cm na kukurekebisha ujue ni Mungu anakuambia makosa yako
na kuna ndoto zingine ni ujumbe direct kama mtahitaji maelezo mtaniambia,ila inabidi uwe unamuomba roho mtakatifu akusaidie,nami nina gift upande huo kabla ya suala kutokea ktk familia yetu na maisha yangu huwa naota na vitu huja kutokea kama nilivyoota
Je ukiota uko katika maombi unamuombea mtu maana yake nini?
 
Nilishaexperience iyo ndoto, ni kweli huwa sio nzuri, ni kiashiria kuwa kuna jaribu linakuja na kama unaogelea na kyashinda maji basi na jaribu utalishinda, all in all sali sana.
 
silali tena hadi huu upepo upite
My sweet kitoweo, mbona unafanya maarifa ili nikukose??
Please dont go away from me, nakupenda mwenzio, kumbuka without you girl my life is incomplete.
Usiniogoje, Jini likujualo, halikuli ukakwisha.
Nakuhakikishia, mamba mimi, nikikutafuna, utatamani ndoto za kuogelea zidumu asubuhi, mchana, na usiku pia, huku nikikutafuna non stop.
BUJIBUJI a.k.a ze MAMBA
 
Nilishaexperience iyo ndoto, ni kweli huwa sio nzuri, ni kiashiria kuwa kuna jaribu linakuja na kama unaogelea na kyashinda maji basi na jaribu utalishinda, all in all sali sana.
jaribu majaribu ! mmmh
 
omba sana my baby,
weka imani kwa Mungu wako,
then kataa ndoto zote kwa jina la Yesu Kristo,
Mungu hashindwi hata siku moja.
 
Back
Top Bottom