Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,619
haipo bondeni hataduu poleee coz usingizi ulivyo mtamu then una u mic, nyumba yenu haipo bonden? labda ni dalili ya mafuriko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haipo bondeni hataduu poleee coz usingizi ulivyo mtamu then una u mic, nyumba yenu haipo bonden? labda ni dalili ya mafuriko
Mh nyma za watu?aisee ni noma ila nasikia sometimes ni ishara kuwa utakuwa tajiri kwani unaamka umeshiba?
ila unafaido?unakula bure aisee!
mimi kiukweli siamini katika ndoto wala huwa sina time na ndoto nikiota nimeota tu!
lakini kwa sasa nimeona sio jambo la kawaida maana ni wiki sasa kila siku naota naogelea kwenye maji meengi jamani
au ndo naenda kurest in peace?
ni kawaida jamani au nishalogwa
nisaidieni mwenzenu
kabla ya kulala huwa nasali sana wala sifanyi dhambi usiku
naogopa hata kulala siku hizi maana nikilala tu bwawa la mtera linanihusu full kuogelea ,nakomaje???????

ohooo ni nini jamani? niombee silali tena kwa kweli
ohhooo jamani why me? mbona nina matatizo kibao jamani Mungu wangu ninusuru jamaniMie si mchambuzi saaaaaaaaana wa ndoto, lakini kwa ndoto hiyo ni mwashirio kuwa kuna tatizo la moja kwa moja kwako wewe binafsi au katika familia linaweza kuwatokea japo si kwa 100%.
mimi kiukweli siamini katika ndoto wala huwa sina time na ndoto nikiota nimeota tu!
lakini kwa sasa nimeona sio jambo la kawaida maana ni wiki sasa kila siku naota naogelea kwenye maji meengi jamani
au ndo naenda kurest in peace?
ni kawaida jamani au nishalogwa
nisaidieni mwenzenu
kabla ya kulala huwa nasali sana wala sifanyi dhambi usiku
naogopa hata kulala siku hizi maana nikilala tu bwawa la mtera linanihusu full kuogelea ,nakomaje???????
ndoto zingine zinatisha mkuu..
....
Kuna namna ya kufuatilia ndoto,
Basi tu watu hawafuatilii hata wakiambiwa..
Nunua Daftari, Kila siku ukiota ndoto amka andika ulichokiota..fanya hivyo kwa mwaka mzima. Ukija kuangalia ulichoota na maisha yako halisi utashangaa!!..ni ngumu lakini ni njia rahisi ya kujua ndoto zako zina maanisha nini!!
Kwa mfano mimi kuota naogelea kwenye maji mengi ni ishara ya kufanikiwa licha ya vikwazo vingi!!
Lakini ungeota unazama ingekuwa ndiyo dhahama inakunyemelea...
ni kweli ndo maana nimeuliza hata ninashangaa hili jambo kwa kweli..yaani nikilala tu kuogelea kunanihusu hadi najilalia na nguo za kuogelea tu sasa ,ngoja nitafute na boya leoKwa ninavyofahamu ndoto huwa haijirudii, ila kama yako inajirudia kila siku basi inawezekana kuna tatizo siriaz la kiroho, waone viongozi wako wa dini!!!
Je ukiota uko katika maombi unamuombea mtu maana yake nini?Mungu huwa ananena na watu wake kwa kutumia njia ya sauti,maono na ndoto(daniel na yusuph).Hii itakusaidia
ukiona unaota unaogelea jua kuwa utapitia ktk majaribu lakini utayashinda
ukiona unaota unakula hiyo sio nzuri,waweza ugua ama unalishwa na wachawi
ukiota ukaona gari limepaki mbele ya nyumba yenu likiangalia pa kutokea ujue msiba utatokea hapo
ukiona mtu mkuu akikupigia cm na kukurekebisha ujue ni Mungu anakuambia makosa yako
na kuna ndoto zingine ni ujumbe direct kama mtahitaji maelezo mtaniambia,ila inabidi uwe unamuomba roho mtakatifu akusaidie,nami nina gift upande huo kabla ya suala kutokea ktk familia yetu na maisha yangu huwa naota na vitu huja kutokea kama nilivyoota
My sweet kitoweo, mbona unafanya maarifa ili nikukose??silali tena hadi huu upepo upite
jaribu majaribu ! mmmhNilishaexperience iyo ndoto, ni kweli huwa sio nzuri, ni kiashiria kuwa kuna jaribu linakuja na kama unaogelea na kyashinda maji basi na jaribu utalishinda, all in all sali sana.