tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
...yatakuwa ni yale mapepo ya kile chama cha kijani yanakuandama kutokaba na msimamo wako wa kuunga mkono rasmu ya katiba...
hahahaha! yawezekana mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...yatakuwa ni yale mapepo ya kile chama cha kijani yanakuandama kutokaba na msimamo wako wa kuunga mkono rasmu ya katiba...
Few tips kuhusu ndoto (Biblical Perspective)Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikiota ndoto niking'atwa na mbwa na ndoto hii imekuwa ikijirudia mara kwa mara. Nimejaribu kuwauliza wachungaji, manabii na watu mbalimbali wanipe tafsiri ya ndoto hii 'iliyoniganda' kwa miaka mingi sasa lakini sijafanikiwa kupata jawabu. Najua humu kuna manabii, wachungaji na watu wenye pako tofauti wanaoweza kunisaidia kuotolola (kutafsiri) ndoto hii. Inawezekana hili likawa aina fulani ya pepo chafu linalotaka kuniangamiza. Nikijua aina ya pepo hili itakuwa rahisi kupanga mkakati wa kulikemelea mbali kabla halijanidhulu.
Nawasilisha.
:israel:
mkuu ndoto inaishara tofauti,hasa ikijirdia hubeba ujumbe.tafuta maana kwa wachungaji wanaoshika kweli ya biblia.
mbwa ni roho ya uzinzi hivyo kama amekungata inamaana wewe ni mzinzi na mwashareti upesi badilisha maisha yako toka kwenye uzinifu
Roho ya uzinzi inakufuatilia,inabidi uivunje hiyo roho
unaonywa kwa habari ya mwanamke atakayekujia siku za usoni tu. Atakuwa rafiki sana kwako ila atakutia wazimu kimapenzi kiasi kwamba utajisahau na ndiye atakuharibia future yako. Huyu atakufanya masikini wa kutupwa ndipo akuache.
Ushauri:
Kama unaye mke, usilogwe ukaonja mchepuko. Hata akijitupa miguuni pako usimwangalie japo kwa mara moja tu. (Hit and run) ndiyo mwisho wako.
Kama huna mke, uchumba wako utakuwa wa shida kwani watakujia wawili kwa mpigo nawe utashindwa kuchagua. Atakaye kutega ndiye atakumaliza. Usimguse yeye atakaye kutega eg Nimekosa usafiri, naogopa kulala peke yangu etc usimguse mchukue huyo wa pili.
Huu ni ushauri hata kwa wengine wenye matatizo ya kuchagua mchumba.
acha kula ndogo
mkuu, nimehama nyumba zaidi ya mara 3 lakini bado huyu MBWA ananifuata tu.