Nini tafsiri ya ndoto hii ?

Nini tafsiri ya ndoto hii ?

Ni dalili kwamba siku si nyingi yatakukuta yaliyomkuta Dokta Ulimboka. Labda ungetueleza nature ya kazi zako ili tukushauri jinsi gani utaepukana na hii dhahama ya kungolewa kucha na meno kwa pliers.
 
Jamani usiku wa kuamkia leo nimeota kuwa pinda amefika ofisini kwangu,tukaanza kuongelea habari za katiba. Tukabishana sana kuhusu mjadala wa katiba ulivyohodhiwa na ccm. Mwisho akaniambia hawezi kuendelea kubishana na mtumishi wa umma mwenye mlengo wa upinzani. Nakumbuka nilimwambia kuwa watumishi wengi wa umma upinzani upo myoyoni na si majukwaani, akamwamuru RAS aniwajibishe Mara moja. Mara nikasikia hodiii, Mzee mmoja amefika Asubuhi sana akiwashitaki Polisi kwa kumwomba pesa bila kosa wakati yeye ni mlalamikaji. Ila jamani hii si mara ya kwanza,wakati uchaguzi wa 2005 unakaribia niliota,nikmwona mkapa akigombana na Kikwete kwenye corridor ya muhindi mmoja anaitw a Iqbar,yupo upanga jirani na salander bridge. Hoja kubwa kwao ilikuwa nani atakuwa waziri mkuu Kikwete akiwa rais.

Shida ya kuishi uswahilini! Mapaka yamekukurupusha usingizini lala tena umalizie ndoto yako utapata tafsiri yake.
 
Watu cku hizi humu jf kila cku wanaota ndoto za ukawa na siasa tuu hivi kunanii..
 
Jamani usiku wa kuamkia leo nimeota kuwa pinda amefika ofisini kwangu,tukaanza kuongelea habari za katiba. Tukabishana sana kuhusu mjadala wa katiba ulivyohodhiwa na ccm. Mwisho akaniambia hawezi kuendelea kubishana na mtumishi wa umma mwenye mlengo wa upinzani. Nakumbuka nilimwambia kuwa watumishi wengi wa umma upinzani upo myoyoni na si majukwaani, akamwamuru RAS aniwajibishe Mara moja. Mara nikasikia hodiii, Mzee mmoja amefika Asubuhi sana akiwashitaki Polisi kwa kumwomba pesa bila kosa wakati yeye ni mlalamikaji. Ila jamani hii si mara ya kwanza,wakati uchaguzi wa 2005 unakaribia niliota,nikmwona mkapa akigombana na Kikwete kwenye corridor ya muhindi mmoja anaitw a Iqbar,yupo upanga jirani na salander bridge. Hoja kubwa kwao ilikuwa nani atakuwa waziri mkuu Kikwete akiwa rais.
Mkuu kwani mshahara wa julai umeshapata?
 
Back
Top Bottom