Nini tafsiri ya ndoto hii ?

Nini tafsiri ya ndoto hii ?

We umeambiwa usiote ndoto then Una ota na mimi nasema naupigwe tu!
 
Jamani usiku wa kuamkia leo nimeota kuwa pinda amefika ofisini kwangu,tukaanza kuongelea habari za katiba. Tukabishana sana kuhusu mjadala wa katiba ulivyohodhiwa na ccm. Mwisho akaniambia hawezi kuendelea kubishana na mtumishi wa umma mwenye mlengo wa upinzani. Nakumbuka nilimwambia kuwa watumishi wengi wa umma upinzani upo myoyoni na si majukwaani, akamwamuru RAS aniwajibishe Mara moja. Mara nikasikia hodiii, Mzee mmoja amefika Asubuhi sana akiwashitaki Polisi kwa kumwomba pesa bila kosa wakati yeye ni mlalamikaji. Ila jamani hii si mara ya kwanza,wakati uchaguzi wa 2005 unakaribia niliota,nikmwona mkapa akigombana na Kikwete kwenye corridor ya muhindi mmoja anaitw a Iqbar,yupo upanga jirani na salander bridge. Hoja kubwa kwao ilikuwa nani atakuwa waziri mkuu Kikwete akiwa rais.

nipm nikuelimishe kidogo
 
Jiandae kushika post nyeti kwenye serikali ijayo 2015:
 
mwezi huu utapita kwenye mto wenye mamba wengi na wakali sana,

ndio rafsiri ya ndoto yako.
 
Habari wana jf
kuna ndoto ambayo nimekuwa nikiiota Mara kwa Mara kwamba Mara jino langu moja limetoka,au meno yanalegea .sasa hii itakuwa na maana gani?
 
pole sana mkuu...
kibogoyo.jpg
 
kuwa makini linaweza likang'oka kweli ukaamka ukalikosa
 
kweli wewe ni babagodi yule askofu wa dhebu gani vile?
 
Back
Top Bottom