Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,713
Kuna kitu ambacho police wamefanya leo na wengi hatuja waelewa?
Kwa muda mrefu tumekuwa tukitafuta nani anateka watu na kuwatupa porini, majini na kwenye hifadhi za wanyama wakali , bila mafanikio.
Police wamekuwa wakilaumiwa japo na wao wanatekeleza maagizo.
Naona sasa hivi wameamua kuonyesha wazi mambo wanayo agizwa kuwafanyia wananchi ambayo ni kinyume na haki za binadamu.
Juzi wamemsika Heche na kumtelekeza barabarani.
Leo wamewakamata watu walio hudhuria mahakamani badala ya kuwapeleka kituo cha police, wamepeleka porini kuwaumiza na kuwatupa vichakani.
Police wameamua kuweka wazi kwamba kazi ya utekekaji inafanywa kwa ufanisi
Binafsi sioni umuhimu wowote wa kupiga kura, hivyo sitapiga kura iwe ccm au upinzani.
Natabiri mambo maovu sana kutokea kwa wa ccm kwenye uchaguzi huu 2025.
Ushauri kama huna interest, baki nyumbani siku ya uchaguzi.
Mwisho wa mchawi ni kula watoto wake.