Bado wewe! Endeleeni kumshabikia kichaa tu.Kuna kitu ambacho police wamefanya leo na wengi hatuja waelewa?
Kwa muda mrefu tumekuwa tukitafuta nani anateka watu na kuwatupa porini, majini na kwenye hifadhi za wanyama wakali , bila mafanikio.
Police wamekuwa wakilaumiwa japo na wao wanatekeleza maagizo.
Naona sasa hivi wameamua kuonyesha wazi mambo wanayo agizwa kuwafanyia wananchi ambayo ni kinyume na haki za binadamu.
Juzi wamemsika Heche na kumtelekeza barabarani.
Leo wamewakamata watu walio hudhuria mahakamani badala ya kuwapeleka kituo cha police, wamepeleka porini kuwaumiza na kuwatupa vichakani.
Police wameamua kuweka wazi kwamba kazi ya utekekaji inafanywa kwa ufanisi
Binafsi sioni umuhimu wowote wa kupiga kura, hivyo sitapiga kura iwe ccm au upinzani.
Natabiri mambo maovu sana kutokea kwa wa ccm kwenye uchaguzi huu 2025.
Ushauri kama huna interest, baki nyumbani siku ya uchaguzi.
Mwisho wa mchawi ni kula watoto wake.
Hata mimi sielewi kabisaKuna kitu ambacho police wamefanya leo na wengi hatuja waelewa?
Kwa muda mrefu tumekuwa tukitafuta nani anateka watu na kuwatupa porini, majini na kwenye hifadhi za wanyama wakali , bila mafanikio.
Police wamekuwa wakilaumiwa japo na wao wanatekeleza maagizo.
Naona sasa hivi wameamua kuonyesha wazi mambo wanayo agizwa kuwafanyia wananchi ambayo ni kinyume na haki za binadamu.
Juzi wamemsika Heche na kumtelekeza barabarani.
Leo wamewakamata watu walio hudhuria mahakamani badala ya kuwapeleka kituo cha police, wamepeleka porini kuwaumiza na kuwatupa vichakani.
Police wameamua kuweka wazi kwamba kazi ya utekekaji inafanywa kwa ufanisi
Binafsi sioni umuhimu wowote wa kupiga kura, hivyo sitapiga kura iwe ccm au upinzani.
Natabiri mambo maovu sana kutokea kwa wa ccm kwenye uchaguzi huu 2025.
Ushauri kama huna interest, baki nyumbani siku ya uchaguzi.
Mwisho wa mchawi ni kula watoto wake.
Rasmi leo wasiojulikana wameamua kujitangaza mbele ya umma. InasikitishaKuna kitu ambacho police wamefanya leo na wengi hatuja waelewa?
Kwa muda mrefu tumekuwa tukitafuta nani anateka watu na kuwatupa porini, majini na kwenye hifadhi za wanyama wakali , bila mafanikio.
Police wamekuwa wakilaumiwa japo na wao wanatekeleza maagizo.
Naona sasa hivi wameamua kuonyesha wazi mambo wanayo agizwa kuwafanyia wananchi ambayo ni kinyume na haki za binadamu.
Juzi wamemsika Heche na kumtelekeza barabarani.
Leo wamewakamata watu walio hudhuria mahakamani badala ya kuwapeleka kituo cha police, wamepeleka porini kuwaumiza na kuwatupa vichakani.
Police wameamua kuweka wazi kwamba kazi ya utekekaji inafanywa kwa ufanisi
Binafsi sioni umuhimu wowote wa kupiga kura, hivyo sitapiga kura iwe ccm au upinzani.
Natabiri mambo maovu sana kutokea kwa wa ccm kwenye uchaguzi huu 2025.
Ushauri kama huna interest, baki nyumbani siku ya uchaguzi.
Mwisho wa mchawi ni kula watoto wake.
Polisi hawakupeleka mtu porini wazee wa drama wamejipeleka kutengeneza movie husikii video zote wanasema haya tayari jitu linaanza kuchechemea haya tayari jitu linasema mbangamoyo wapi vileee punda pinde eeh pande...Kuna kitu ambacho police wamefanya leo na wengi hatuja waelewa?
Kwa muda mrefu tumekuwa tukitafuta nani anateka watu na kuwatupa porini, majini na kwenye hifadhi za wanyama wakali , bila mafanikio.
Police wamekuwa wakilaumiwa japo na wao wanatekeleza maagizo.
Naona sasa hivi wameamua kuonyesha wazi mambo wanayo agizwa kuwafanyia wananchi ambayo ni kinyume na haki za binadamu.
Juzi wamemsika Heche na kumtelekeza barabarani.
Leo wamewakamata watu walio hudhuria mahakamani badala ya kuwapeleka kituo cha police, wamepeleka porini kuwaumiza na kuwatupa vichakani.
Police wameamua kuweka wazi kwamba kazi ya utekekaji inafanywa kwa ufanisi
Binafsi sioni umuhimu wowote wa kupiga kura, hivyo sitapiga kura iwe ccm au upinzani.
Natabiri mambo maovu sana kutokea kwa wa ccm kwenye uchaguzi huu 2025.
Ushauri kama huna interest, baki nyumbani siku ya uchaguzi.
Mwisho wa mchawi ni kula watoto wake.
Kwahio police hawana akili kiasi kwamba wakiambiwa ua unaua? Basi tuna genge la wahalifuPolice wamekuwa wakilaumiwa japo na wao wanatekeleza maagizo
Kumbe na wewe mtu wa hovyo, sasa hivi tunasifia kazi nzuri sana ya polisi kuwashughulikia chadema mara ghafla umegeuka unasema siyo kazi ya polisi ni chadema wenyewe wamejipeleka kutengeneza movie.!Polisi hawakupeleka mtu porini wazee wa drama wamejipeleka kutengeneza movie husikii video zote wanasema haya tayari jitu linaanza kuchechemea haya tayari jitu linasema mbangamoyo wapi vileee punda pinde eeh pande...
KuogopeshaKuna kitu ambacho police wamefanya leo na wengi hatuja waelewa?