Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,374
- 6,857
Toyota Crown ya 2004 kila ulikitembea km 37-40 hizo taa zinawaka kwa pamoja ikianza na taa ya check engine halafu ndani ya sekunde chache zinawaka hizo zingine kwa pamoja. Ukizima gari na kuliwasha tena tatizo linapoteza, ukitembea tena km 37 taa zinawaka.
Gari bado lina nguvu na kila kitu kipo sawa na hakuna tatizo lolote mechanically. Nilijaribu kuangalia YouTube nikaona ni mfumo wa mafuta kwenye kifuniko nimekisafisha na kufunga tena likaenda km45 ikawasha tena taa.
Nilipeleka gari kwa jamaa akacheck kwa tablet (diagnosis system), ilileta codes za oxygen sensor na ABS lakini aliziclear akasema tatizo limeisha. Akazipima sensor akasema zinafanya kazi vizuri tu. Nilivyoendesha kufika 60 km taa zile zikawaka.
Nimefanya service gari kumwaga engine oil na transmission (ilifika km elfu 30) lakini bado taa zinawaka.
Naomba mwenye kujua way forward asaidie hapo.
Asante.