Najitahidi nguo sivai Mara mbili na Hua zimenyooshwaHaogi vizuri.Pia nyoa mavuz ya kwapani.Acha kutumia manukato ya bei nafuu kwapani tumia deodorant zenye viwango vya juu.
Epuka kurudia kuvaa nguo chaff.
Nyoosha nguo zako baada ya kufua vzur.
Ngoja niingie chimbo kuangalia maandiko yanasemaje. Nikimaliza kudesa nitarudi na 'tiba kamili'...Sawa tiba yake sasa
Mkuuu yaan tatizo LA mkojo niww....kwapa pia niww ???? .Kutokwa na harufu mbaya kwenye makwapa hata kama umekoga.
tumia deodorant ambayo kimiminika chake ni maziwamaziwa ambacho hakina manukato yoyote, aina ya NIVEA. Acha zile ziko nyeupe kama maji na zenye harufu, hayo maneno ya sijui za bei mbaya we achana nayo fuata ushauri wanguKuonga naonga vizuri Sana na hakuna hizo nyele hata kidogo na situmii mafuta yoyote wala deodorant yoyote mkuu
Pole sana!Kutokwa na harufu mbaya kwenye makwapa hata kama umekoga.
Sawa mkuu
Ahsante kwa ushauri mkuutumia deodorant ambayo kimiminika chake ni maziwamaziwa ambacho hakina manukato yoyote, aina ya NIVEA. Acha zile ziko nyeupe kama maji na zenye harufu, hayo maneno ya sijui za bei mbaya we achana nayo fuata ushauri wangu
Hii ndio sababu inayofanya kutoa hio harufu,kwanza nenda kanunue ndimu weka kwapani kwa dakika 10 halafu sugua kwa dakika 3 hadi 5. Halafu nenda maduka ya manukato nunua deodorants inaitwa SURE ukipata ya spray ndio nzuri lakini hata ya roll on pia sawa tu.situmii mafuta yoyote wala deodorant yoyote mkuu
Kuonga huko ni Mara moja kwa siku amaPole sana!
Kwa tiba ya asili Fanya hivi!
Ukipikwa ugari usiku,tia maji kwenye sufuria hadi asubuhi, chuja MAJI hayo ,ukiingia kukoga yaweke pembeni, oga kwanza baada ya kujisafisha kwa kusuguwa sehemu hisika, tumia MAJI ya ukoko, kwa kujisafisha, sugua kwa kitambaa ulicholoweka kwa hayo MAJI ukimaliza jisuuze na MAJI ya kawaida!
Fanya hivi Mara kadhaa kila uogapo, hata kwa week nzima,achana na manukato hata kama n ya bei kali, au kama unatumia basi hizo sehem husika usipake, hii dawa tumia kwa shombo yeyote !!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukurani sanaTrimethylaminuria
Other Names:
TMAU; Fish odor syndrome; Fish malodor syndrome; See More
Categories:
Metabolic disorders
Trimethylaminuria
Ni tatizo linalosababishwa na mwili kushindwa kuyeyusha baadhi ya kampaundi zilizo na kiwango kikubwa cha Nitrojen.
Tatizo hili halina dawa la hospitali ila linaweza kupungua kwa wewe kupunguza kula vyakula vyenye kiwango kikubwa cha Nitrojen kama vile mayai, maziwa, maharage, maini, samaki na mboga mboga kama Cabeji…
Embu jaribu kuacha kula vyakula hivi kwa mda wa wiki kama mbili uone kama tatizo litapungua then uje tujue jinsi ya kukusaidia zaidi…