Nini tiba ya tatizo hili

Nini tiba ya tatizo hili

Haogi vizuri.Pia nyoa mavuz ya kwapani.Acha kutumia manukato ya bei nafuu kwapani tumia deodorant zenye viwango vya juu.
Kuonga naonga vizuri Sana na hakuna hizo nyele hata kidogo na situmii mafuta yoyote wala deodorant yoyote mkuu
 
Epuka kurudia kuvaa nguo chaff.
Nyoosha nguo zako baada ya kufua vzur.
Najitahidi nguo sivai Mara mbili na Hua zimenyooshwa
 
OGA VIZURI KWA KUTUMIA SABUNI INAYODHIBITI BAKTERIA KWA KOGEO

VAA NGUO SAFI NA USIRUDIE NGUO BILA KUFUA

TUMIA DEODORANT
 
Ahsante mkuu kwa sabuni ya kuuwa bacteria hiyo natumia, labda nitafute deodorant hiyo ila ipi nzuri sasa
 
Kutokwa na harufu mbaya kwenye makwapa hata kama umekoga.
Mkuuu yaan tatizo LA mkojo niww....kwapa pia niww ???? .

Anyway pole sana .......ila kikabila kwetu ,jasho Kali wazee wanakuambian,,, uchukue sufuria lilopikiwa ugali ,,likiwa na ukoko wake ,weka maji kisha koga .....
 
Sawa mkuu
 
Kuonga naonga vizuri Sana na hakuna hizo nyele hata kidogo na situmii mafuta yoyote wala deodorant yoyote mkuu
tumia deodorant ambayo kimiminika chake ni maziwamaziwa ambacho hakina manukato yoyote, aina ya NIVEA. Acha zile ziko nyeupe kama maji na zenye harufu, hayo maneno ya sijui za bei mbaya we achana nayo fuata ushauri wangu
 
Kutokwa na harufu mbaya kwenye makwapa hata kama umekoga.
Pole sana!
Kwa tiba ya asili Fanya hivi!

Ukipikwa ugari usiku,tia maji kwenye sufuria hadi asubuhi, chuja MAJI hayo ,ukiingia kukoga yaweke pembeni, oga kwanza baada ya kujisafisha kwa kusuguwa sehemu hisika, tumia MAJI ya ukoko, kwa kujisafisha, sugua kwa kitambaa ulicholoweka kwa hayo MAJI ukimaliza jisuuze na MAJI ya kawaida!

Fanya hivi Mara kadhaa kila uogapo, hata kwa week nzima,achana na manukato hata kama n ya bei kali, au kama unatumia basi hizo sehem husika usipake, hii dawa tumia kwa shombo yeyote !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu

Trimethylaminuria

Other Names:

TMAU; Fish odor syndrome; Fish malodor syndrome; See More

Categories:

Metabolic disorders

Trimethylaminuria

Ni tatizo linalosababishwa na mwili kushindwa kuyeyusha baadhi ya kampaundi zilizo na kiwango kikubwa cha Nitrojen.

Tatizo hili halina dawa la hospitali ila linaweza kupungua kwa wewe kupunguza kula vyakula vyenye kiwango kikubwa cha Nitrojen kama vile mayai, maziwa, maharage, maini, samaki na mboga mboga kama Cabeji…

Embu jaribu kuacha kula vyakula hivi kwa mda wa wiki kama mbili uone kama tatizo litapungua then uje tujue jinsi ya kukusaidia zaidi…
 
tumia deodorant ambayo kimiminika chake ni maziwamaziwa ambacho hakina manukato yoyote, aina ya NIVEA. Acha zile ziko nyeupe kama maji na zenye harufu, hayo maneno ya sijui za bei mbaya we achana nayo fuata ushauri wangu
Ahsante kwa ushauri mkuu
 
situmii mafuta yoyote wala deodorant yoyote mkuu
Hii ndio sababu inayofanya kutoa hio harufu,kwanza nenda kanunue ndimu weka kwapani kwa dakika 10 halafu sugua kwa dakika 3 hadi 5. Halafu nenda maduka ya manukato nunua deodorants inaitwa SURE ukipata ya spray ndio nzuri lakini hata ya roll on pia sawa tu.
 
Pole sana!
Kwa tiba ya asili Fanya hivi!

Ukipikwa ugari usiku,tia maji kwenye sufuria hadi asubuhi, chuja MAJI hayo ,ukiingia kukoga yaweke pembeni, oga kwanza baada ya kujisafisha kwa kusuguwa sehemu hisika, tumia MAJI ya ukoko, kwa kujisafisha, sugua kwa kitambaa ulicholoweka kwa hayo MAJI ukimaliza jisuuze na MAJI ya kawaida!

Fanya hivi Mara kadhaa kila uogapo, hata kwa week nzima,achana na manukato hata kama n ya bei kali, au kama unatumia basi hizo sehem husika usipake, hii dawa tumia kwa shombo yeyote !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuonga huko ni Mara moja kwa siku ama
 
Trimethylaminuria

Other Names:

TMAU; Fish odor syndrome; Fish malodor syndrome; See More

Categories:

Metabolic disorders

Trimethylaminuria

Ni tatizo linalosababishwa na mwili kushindwa kuyeyusha baadhi ya kampaundi zilizo na kiwango kikubwa cha Nitrojen.

Tatizo hili halina dawa la hospitali ila linaweza kupungua kwa wewe kupunguza kula vyakula vyenye kiwango kikubwa cha Nitrojen kama vile mayai, maziwa, maharage, maini, samaki na mboga mboga kama Cabeji…

Embu jaribu kuacha kula vyakula hivi kwa mda wa wiki kama mbili uone kama tatizo litapungua then uje tujue jinsi ya kukusaidia zaidi…
Shukurani sana
 
Mkuu kunywa maji mengi ili kulifanya jasho lako kuwa jepesi, yaani una neutralize kemikali zilizo katika jasho na maji hakika utakuwa salama, Maji!Maji! Maji!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom