peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Taja umuhimu na mifano hai au halisi ya chama cha walimuMi naamini kuwa CWT pamoja na mapungufu yake bado kina umuhimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taja umuhimu na mifano hai au halisi ya chama cha walimuMi naamini kuwa CWT pamoja na mapungufu yake bado kina umuhimu
CWT sio Chama cha serikali bali ni taasisi inayomilikiwa na walimu,hiki Chama nichakiharakati chenye lengo la kumtetea mwalimu pale anapopata matatizo pamoja nakutetea maslahi ya walimu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28],mpwayungu village bila kuweka neno ni uzi batili
Wanahitaji kumkata mwalimu pesa kwa ajili ya kumtetea maslahi yake?Kwa uchache malengo ya vyama vya wafanyakazi ni kutetea maslahi na haki za wanachama wao, ama vile mazingira Bora ya kufanyia kazi, mishahara inayoweza kukizi mahitaji n.k
Adui wa mtu ni wale wa nyumbani kwake.Nilipoona Magreth Sitta alikuwa Rais wa CWT akagombea ubunge na alivyoshinda JK akampa uwaziri wa elimu kisha akawasaliti walimu wenzake basi niliishiwa hamu.
walimu wangekuwa wanajitambuwa wao ndio makarani wa uchaguzi wangetumia fursa hiyo kuiadhibu Ccm, lakini wenyewe ndio wamegeuka makuwadi wa kuratibu wizi wa kura.
Je mazingira ya kazi yanahusika kwenye wajibu wa chama kwa wanachama wake?CWT sio Chama cha serikali bali ni taasisi inayomilikiwa na walimu,hiki Chama nichakiharakati chenye lengo la kumtetea mwalimu pale anapopata matatizo pamoja nakutetea maslahi ya walimu
UHALISIA : kwasababu cwt viongozi wao wengi nipandikizi, Wala rushwa, Majizi ndio maana hakijali tena walimu wanajijali wenyewe. Mwalimu unaweza kusitishiwa mshahara wako Kwa sababu mbalimbali ukaamua kwenda Kwa viongozi wa CWT wakutetee lakini hawafatilii na Wala hawajali matatizo yako
Mimi siioni labda waje wenyewe waalimu watwambieAmani iwe kwenu,
Katika tafakuri yangu weekend hii nimejiuliza maswali kadhaa kuhusu faida wanayoipata waalimu kupitia chama chao cha waalimu kitaifa.
Kuna mambo kadhaa yanayotafakarisha nikaona vyema nije kwenu wanaJF tusaidiane kupata majibu.
Lengo la uzi huu ni kutambua malengo, wajibu na kazi za chama cha walimu (CWT).
- Tukianza na usajili wa chama cha waalimu, je ni cha kiserikali au NGO?
- Chama hiki kilianzishwa kwa takwa la waalimu au setikali iliwaundia chama chao kama inavyounda bodi za kudhibiti taaluma mbalimbali Tanzania?
- Chama hiki kinapokea makato na michango ya waalimu kutoka kwenye mishahara yao. Je michango au tozo hizo zinamfaidisbaje mwalimu kiuchumi kwa sababu siyo kodi ya serikali.
- Je chama kina mamlaka ya kusimamia taaluma za walimu? Chama kinaweza kumfutia mwalimu cheti chake cha ualimu?
- Umiliki wa mali unaofanywa na chama, kunawafaidishaje waalimu kwenye faida zitokanazo na mali hizo?
- CWT kimekuwa kikitambulishwa kwenye sherehe za Mei Mosi na serikali imekuwa ikitoa majibu ya matatizo ya waalimu kwa kuaddress chama chao.
- Chama hiki kama kinasimamia waalimu. Je vipi uhusika wa usimamizi wake kwenye utoaji wa taaluma yaani ustawi wa mitaala na qualitative education?
- Kwa nini serikali inapenyeza watu wake kushika nafasi za juu za uongozi wa chama hiki? Najua ninalolisema
Pia walimu mliopo humu mnakionaje chama hiki kama kinakidhi takwa la umoja wa waalimu au ni eneo lingine la siasa za Tanzania?
Ukijua kazi ya hawa hapa utajua kazi hicho chamaAmani iwe kwenu,

Huyo mwl wamchongo. Walimu maafisa vipenyo hata kazi hawafanyi ndio maana wakipata huo Urais wala hawajui shida za walimuHata Magufuli alikuwa Mwalimu, Kassimu Majaliwa ni Mwalimu pia.
Kwamba ni CCM-BUkijua kazi ya hawa hapa utajua kazi hicho chama
- ACT Waz
- Chapa ya Jogoo Magomeni Uslama
- Chama cha wenye Mandevu kule Buguruni
Tafuta speech ya Kiongozi mkubwa wa viongozi wakati wa uchaguzi wa Mwenyekiti wao 2020 utaelewaMapandikizi siyo?
Kwa hivyo walimu wanahusika kwenye kura?
🤣Kwamba ni CCM-B
Mimi ulivyotumia neno takeaway kwenye maelezo yako inanimate ukakasi sana ;kwenye kiswahili hakuna umoja ama uwingi wa matakwa iwe umoja au uwingi neno ni moja tu yaani matakwa tu,yapo maneno mengi hayana uwingi au umojaAmani iwe kwenu,
Katika tafakuri yangu weekend hii nimejiuliza maswali kadhaa kuhusu faida wanayoipata waalimu kupitia chama chao cha waalimu kitaifa.
Kuna mambo kadhaa yanayotafakarisha nikaona vyema nije kwenu wanaJF tusaidiane kupata majibu.
Lengo la uzi huu ni kutambua malengo, wajibu na kazi za chama cha walimu (CWT).
- Tukianza na usajili wa chama cha waalimu, je ni cha kiserikali au NGO?
- Chama hiki kilianzishwa kwa takwa la waalimu au setikali iliwaundia chama chao kama inavyounda bodi za kudhibiti taaluma mbalimbali Tanzania?
- Chama hiki kinapokea makato na michango ya waalimu kutoka kwenye mishahara yao. Je michango au tozo hizo zinamfaidisbaje mwalimu kiuchumi kwa sababu siyo kodi ya serikali.
- Je chama kina mamlaka ya kusimamia taaluma za walimu? Chama kinaweza kumfutia mwalimu cheti chake cha ualimu?
- Umiliki wa mali unaofanywa na chama, kunawafaidishaje waalimu kwenye faida zitokanazo na mali hizo?
- CWT kimekuwa kikitambulishwa kwenye sherehe za Mei Mosi na serikali imekuwa ikitoa majibu ya matatizo ya waalimu kwa kuaddress chama chao.
- Chama hiki kama kinasimamia waalimu. Je vipi uhusika wa usimamizi wake kwenye utoaji wa taaluma yaani ustawi wa mitaala na qualitative education?
- Kwa nini serikali inapenyeza watu wake kushika nafasi za juu za uongozi wa chama hiki? Najua ninalolisema
Pia walimu mliopo humu mnakionaje chama hiki kama kinakidhi takwa la umoja wa waalimu au ni eneo lingine la siasa za Tanzania?
Lengo la vyama vingi vya wafanyakazi ikiwa ni pamoja na CWT ni kuwagawa wafanyakazi dtu wale wahenga tukumbuke enzi za JUWATA chama kilikuwa na nguvu maana kilikuwa kinaunganisha wafanyakazi woteAmani iwe kwenu,