Nini tija ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kwa Walimu?

Nini tija ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kwa Walimu?

Umuhimu wake nini kama nilinyang'anywa daraja 2016 sijarudishiwa adi sasa
 
Kiongozi stress za walimu hazisababishwi na CWT, Hilo ni swala la mwalimu na mwajiri wake. Kabla hujakubali kufanya kazi yeyote lazima kwanza kufahamu mazingira, maslahi na changamoto za kazi husika.
Okay
 
Hivi benki na mwalimu house inasaidia nini ni miaka na Miata sasa imepita.

Kama ni kipofu amechokozwa na atakuwa na hasira ndio maama elim inadorora.

Mgomo baridi uleeee unaendelea
 
Back
Top Bottom