M Mtimkavuorg JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 655 Reaction score 527 Dec 18, 2022 #41 Umuhimu wake nini kama nilinyang'anywa daraja 2016 sijarudishiwa adi sasa
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Dec 18, 2022 #42 Mzee Ngonyani said: Kiongozi stress za walimu hazisababishwi na CWT, Hilo ni swala la mwalimu na mwajiri wake. Kabla hujakubali kufanya kazi yeyote lazima kwanza kufahamu mazingira, maslahi na changamoto za kazi husika. Click to expand... Okay
Mzee Ngonyani said: Kiongozi stress za walimu hazisababishwi na CWT, Hilo ni swala la mwalimu na mwajiri wake. Kabla hujakubali kufanya kazi yeyote lazima kwanza kufahamu mazingira, maslahi na changamoto za kazi husika. Click to expand... Okay
Mama Edina JF-Expert Member Joined Dec 18, 2022 Posts 850 Reaction score 2,019 May 16, 2023 #43 Hivi benki na mwalimu house inasaidia nini ni miaka na Miata sasa imepita. Kama ni kipofu amechokozwa na atakuwa na hasira ndio maama elim inadorora. Mgomo baridi uleeee unaendelea
Hivi benki na mwalimu house inasaidia nini ni miaka na Miata sasa imepita. Kama ni kipofu amechokozwa na atakuwa na hasira ndio maama elim inadorora. Mgomo baridi uleeee unaendelea