Nini tofauti kati ya kwenda sekondari au college

Nini tofauti kati ya kwenda sekondari au college

mlinzi mlalafofofo

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2008
Posts
725
Reaction score
1,282
Nimeona kwa sasa kijana anaweza kutoka shule ya msingi akapangiwa moja kwa moja kwenda sekondari form one au la wakampangia kwenda chuo (college) cha ufundi.

Au akatoka form four akapangiwa kuendelea na sekondari fomu six au akapangiwa kwenda college.

Ipi ni njia bora kati ya hizo kwa kijana?

Toa sababu.
 
maana yake unakwenda kupata ufahamu na uelewa wa juu zaidi ukinganisha na kabla ya hapo..

zote ni njia bora na muafaka sana kwa kijana kwenda...

akienda ufundi anakwenda kupata mafunzo ya kitaalamu kwa vitendo..

akienda elimu nyingine kwa upande mwingine, anakwenda kupata ujuzi wa kitaalamu kinadharia zaidi , ili hatimae baadae afanye hivyo kwa ubunifu wa vitendo kuleta mageuzi ndani ya jamii na Taifa kwa ujumla baadae 🐒
 
Maliza 4m4 nenda college, hiyo chuo ya ufundi baada ya la 7 haijakaa poa bado kijana anakua na uelewa mdogo juu ya mambo.
 
Back
Top Bottom