Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiongeze unaweza ukaelewa badaye vifungu vya bible ulivyotoa ni kwa uelewa wakoMapepo ni nini? Ni mali ya shetani anbaye ni mtawala wao, yesu anasema ibilisi na malaika zake, ni malaika walioanguka au kuasi.
'na malaika wasio ilinda enzi yao wenyewe, lakini wakayaacha makao yao yaliyowahusu, amewaweka katika vifungo vya milele chini ya giza kwa hukumu ya siku ile kuu. Yuda 1;6"
mapepo wawapo katika mwili wa mtu wanaweza kumfanyia vituko mbalimbali kama vile
1. Kuku vunjia ndoa
2. Kukufungia kipato chako
3.wanaweza kukufungia ufahamu ukiwa darasani,nyumbani nk.
Muzimu ni aina ya mapepo yatumiayo sura au kivuli cha mtu fulani mashuhuri aliyekufa ndani ya ukoo husika ndio maana baada ya yeye kufa huanza kujitafutia mtu mwingine ndani ya ukoo huo atakaye umiliki. Nao waweza kuja kwa mtu kwa njia ya uvamizi wa ndoto au sura ya mtu furani aliyekufa ndani ya ukoo.
Kwa maana nyingine niseme kwamba ndani ya ukoo wako yuko mtu aliyefunga mkataba na mizimu akafungamanishwa na roho hiyo kwa agano la kutambika au kupeana zawadi fulani au kwa kufanyiana sherehe fulani kwa bahati mbaya mtu yule amefariki nndani ya ukoo huo lakini kumbuka ameacha amefunga mikataba na mizimu ndani ya ukoo huo hivyo ule mzimu unaanza kutembea ndani ya ukoo ukijitafutia mtu wa kulinyuu upya mkataba.
"kutoka 20;5..........nawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao;
kumbe kwa kuwa babu yako aliingia katika maagano na mizimu, roho hiyo imefungamanishwa na ukoo huo....................
MUNGU AKUBARIKI KWA SWALI LAKO ZURI...........
acha nitoe elimu,mzimu ni mashetani yaliyoishi katika vichwa vya mababu na mababa yanayodumisha mila za ukoo huo au kabila hilo,yanatoa maelekezo kupitia ndoto,yanauwezo wa kujigeuza sura ya mababu zako na mababa zako waliopita na kutoa maelekezo ndotoni,Pepo ni mashetani waasi wanaomshawishi mwanadamu kwenda kinyume na maamrisho ya mungu muumba,si pepo wala si mzimu ambao wana asili ya binadam
Kwa nini uwatoe malaika?
Ooh!
Sikulifafanua vzr
...holy Ghost tofauti na majini/mapepo....na malaika tofaut yao ni kuna malaika wa nuru na malaika wa giza.
SAFI SANA WANATUIBIAKazi kwelikweli
Nilijifunza enzi nasoma mafundisho ya komonio ya kwanza na kipaimara kwamba
Mungu ni nani??
Jibu mungu ni roho halisi kamili kabisa hakuanza wala hatakwisha
Now naona pepo na.mizimu nao ni roho
Wana amken kumekucha huyo mungu,pepo na mizimu hivyo vitu havipp..
Kuna mahala nilisikia kuna pepo mchafu ina maana kuna pia kuna pepo msafi but mchungaji anapo omba anasema pepo toka kwa jina la yesu..je likitoka pepo safi badala ya chafu??
Akili za iman mnazijua wenyewe aisee
Ni kweli mkuu, umesema sahihi, Mizimu inapenda kuabudiwa ndio maana inajifanya watu waliokufa ili itambikiwe matambiko ya kuyaabudu,acha nitoe elimu,mzimu ni mashetani yaliyoishi katika vichwa vya mababu na mababa yanayodumisha mila za ukoo huo au kabila hilo,yanatoa maelekezo kupitia ndoto,yanauwezo wa kujigeuza sura ya mababu zako na mababa zako waliopita na kutoa maelekezo ndotoni,Pepo ni mashetani waasi wanaomshawishi mwanadamu kwenda kinyume na maamrisho ya mungu muumba,si pepo wala si mzimu ambao wana asili ya binadam
Holy Ghost...Holy Ghost, malaika, majini, mizimu, pepo, wote ni wale wale tu. inategemea wewe unayewatazama unasimamia upande gani.
Mapepo ni nini? Ni mali ya shetani anbaye ni mtawala wao, yesu anasema ibilisi na malaika zake, ni malaika walioanguka au kuasi.