Kwahiyo kuna wahutu warefu kama kagame? Au wahutu wenye muonekano kama wa watoto wa kagame?Mkuu
Uhutu na ututsi ni dhana tu ya kufikirika ya ubaguzi iliyoletwa na wajerumani pale RWANDA!!
Has nothing to do genetically!!
"Nyie asili yenu ni ethiopia,watoto wa mfalme suleiman aliezaa na Beethsheba"sauti ya mjerumani MMOJA ikiongea na machifu wa wafugaji KWENYE vilima vya Rwanda ZAMANI SANA!!
Ndipo ubaguzi ulipoanza HADI leo na kujifanya Waisrael!!!
Huwa nawacheka sana wajomba zangu hawa wa kinyambo,kinyankole,kitutsi n.k
Hamna kitu mkuu!relax kabisaa!!
Wahutu wakulima wabantu na watutsi wafugaji wanajifanya ni waethiopia na Waisrael wa mchongo!!Kwahiyo kuna wahutu warefu kama kagame? Au wahutu wenye muonekano kama wa watoto wa kagame?
Namba 4.wapo wabantu wenye pua za kuchongoka na ni warefu!!1.wahutu na watusi wote wanaongea lugha moja
2.Burundi kuna watusi na wahutu
3.Rwanda kuna watusi na wahutu
4.watusi wana pua za kuchongoka na ni warefu tofauti na wahutu
OkNamba 4.wapo wabantu wenye pua za kuchongoka na ni warefu!!
Hiyo siyo criteria KABISA!!
sio watusi wote wana pua izo! watusi na wahutu wamechanganyikana sana ni nadra kumuona mtusi pure!1.wahutu na watusi wote wanaongea lugha moja
2.Burundi kuna watusi na wahutu
3.Rwanda kuna watusi na wahutu
4.watusi wana pua za kuchongoka na ni warefu tofauti na wahutu