Nini tofauti kati ya Wahutu na Watusi? Je, ni maumbile au lugha?

Nini tofauti kati ya Wahutu na Watusi? Je, ni maumbile au lugha?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Ninini hasa tofauti ya hizi jamii mbili wahutu na watusi?

Mimi ninavyojua ni haya kama nakosea naomba kuelimishwa!

1. Wahutu ni wafupi watusi ni warefu
2. Kitusi ni lugha na kihutu ni lugha
3. Rwanda wanakaa watusi na Burundi wanakaa wahutu

Maswali yangu!
1. Je, Burundi kuna watusi?
2. Rais wa Burundi ni mhutu na Rais wa rwanda ni mtusi.
3. Kama rwanda watusi wana nguvu vipi kuhusu Burundi?

Swali nje ya mada!
Je, Rwanda na Burundi ipi iko powerful kijeshi?

Cc. GENTAMYCINE
 
Mkuu

Uhutu na ututsi ni dhana tu ya kufikirika ya ubaguzi iliyoletwa na wajerumani pale RWANDA!!

Has nothing to do genetically!!

"Nyie asili yenu ni ethiopia,watoto wa mfalme suleiman aliezaa na Beethsheba"sauti ya mjerumani MMOJA ikiongea na machifu wa wafugaji KWENYE vilima vya Rwanda ZAMANI SANA!!

Ndipo ubaguzi ulipoanza HADI leo na kujifanya Waisrael!!!

Huwa nawacheka sana wajomba zangu hawa wa kinyambo,kinyankole,kitutsi n.k

Hamna kitu mkuu!relax kabisaa!!
 
Wahuru ni wabantu sawa na Waha wa kigoma aka chigomaaa ila watutsi ni jamii ya wahabeshi
 
Mkuu

Uhutu na ututsi ni dhana tu ya kufikirika ya ubaguzi iliyoletwa na wajerumani pale RWANDA!!

Has nothing to do genetically!!

"Nyie asili yenu ni ethiopia,watoto wa mfalme suleiman aliezaa na Beethsheba"sauti ya mjerumani MMOJA ikiongea na machifu wa wafugaji KWENYE vilima vya Rwanda ZAMANI SANA!!

Ndipo ubaguzi ulipoanza HADI leo na kujifanya Waisrael!!!

Huwa nawacheka sana wajomba zangu hawa wa kinyambo,kinyankole,kitutsi n.k

Hamna kitu mkuu!relax kabisaa!!
Kwahiyo kuna wahutu warefu kama kagame? Au wahutu wenye muonekano kama wa watoto wa kagame?
 
Kwahiyo kuna wahutu warefu kama kagame? Au wahutu wenye muonekano kama wa watoto wa kagame?
Wahutu wakulima wabantu na watutsi wafugaji wanajifanya ni waethiopia na Waisrael wa mchongo!!

Hakuna tofauti ya ki genetic ya MAANA ya kuwatofautisha Kati ya jamii hizi mbili ZAIDI ya muonekano!!

Kwamfano Binti yangu wa miaka tisa mwembamba mrefu masikio marefu nikimpeleka migration lazima ahojiwe asili yake wakati nimezaa na mtu wa kusini hapo ubenani!!wakati mimi sio mtutsi japo kina mama NDIO hujiita hivyo wa karagwe!!

SASA hapo utasema mwanagu ni mtutsi KWA muonekano!!?

Hamna kitu!!
 
1.wahutu na watusi wote wanaongea lugha moja
2.Burundi kuna watusi na wahutu
3.Rwanda kuna watusi na wahutu
4.watusi wana pua za kuchongoka na ni warefu tofauti na wahutu
 
1.wahutu na watusi wote wanaongea lugha moja
2.Burundi kuna watusi na wahutu
3.Rwanda kuna watusi na wahutu
4.watusi wana pua za kuchongoka na ni warefu tofauti na wahutu
Namba 4.wapo wabantu wenye pua za kuchongoka na ni warefu!!

Hiyo siyo criteria KABISA!!
 
Wote wako Rwanda na Burundi
Wahutu ni wengi kuliko Watusi
Wote wanaongea lugha moja
Asilimia kubwa wanaabudu dini moja Katoliki
 
1.wahutu na watusi wote wanaongea lugha moja
2.Burundi kuna watusi na wahutu
3.Rwanda kuna watusi na wahutu
4.watusi wana pua za kuchongoka na ni warefu tofauti na wahutu
sio watusi wote wana pua izo! watusi na wahutu wamechanganyikana sana ni nadra kumuona mtusi pure!
kuna watusi nawajua vifupiii kama nyundo ila sura tu ndo utagundua
kuna watusi wana pua kubwa kuliko hata yangu mbantu!

kifupi ukabila wa hawa watu ulikua wakulazimisha na wakoloni
plus kagame ndo anautumia kuendelea kutawala wajinga
 
Back
Top Bottom